Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa heshima ya UEFA naomba wanaocheza mechi za Alhamis wasiingie katika jukwaa hili mpaka watakapoanza kushiriki UEFA
 
We're going to win UEFA Champions League ...

Huwezo tunao ..Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]

#KTBFFH
 
Wanazi wa Chelsea hilo kundi nikiangalia kwa kweli hamtoboi

Valencia anategemea sana hela za UEFA and the same to Ajax.

Valencia wamesajili vizuri hili dirisha , Ajax najua mnawafahamu
Point less
Group gumu ni la F Barca, Borussia Dortmund na Inter. Group likiisha kuwa na timu tatu ngumu hilo group ni ngumu. Inter mwaka huu ni hatari na inategemewa kuchukua ubingwa zaidi ya Juve. Chelsea tuachie Ajax na Valencia ni size yetu
 
Hujawahi jiuliza kwa nn mashabiki Wa Chelsea ni wengi kuliko mabingwa wa Ulaya mara nyingi Uingereza Liva?

Huo wingi muliokuwanao labda huko kwenu Gongolamboto lakini sio Duniani kiujumla.

Huwezi kuwa na mashabiki wengi kumzidi Liverpool
 
Eti mara zote tulizopangwa na Valencia group moja tumefika final

2007/2008 Group B
Chelsea
Schalke 04
Rosenborg
Valencia

Tulifika fainali tukaenda kupoteza kwa Utd

2011/2012 Group E
Chelsea
Bayern Leverkusen
Valencia
Genk

Tulifika fainali tukachukua dhidi ya Bayern Munich

2019/2020 Group H
Chelsea
Ajax
Valencia
Lille

??????????????
 
Huo wingi muliokuwanao labda huko kwenu Gongolamboto lakini sio Duniani kiujumla.

Huwezi kuwa na mashabiki wengi kumzidi Liverpool

Takwimu hizo hapo mwenye kubisha aje na zake
  • Chelsea = Ulaya na America ukiondoa Marekani
  • Arsenal = Afrika, Marekani na Kanada
  • Man United = China na India
Kwa Uingereza tu
  1. Manchester United
  2. Liverpool
  3. Arsenal
  4. Chelsea
  5. Spurs
  6. Manchester city
Duniani kote kwa wingi wa mashabikli (timu zote za ligi kubwa Ulaya)
  1. Real Madrid
  2. Barcelona
  3. Manchester United
  4. Chelsea
  5. Bayern
  6. Arsenal
  7. Manchester City
  8. Juventus
  9. Liverpool
  10. PSG
Duniani kote kwa wingi wa nchi (timu za EPL tu)
  1. Chelsea
  2. Arsenal
  3. Man United
  4. Liverpool
  5. Man city
Takwimu hizi ni kwa kutumia viashiria za wafuasi wa timu husika kupitia mitandao ya kijamii - January 2019
 
Sasa hapa tubishe nini?

Unajuwa maana ya twakimu?

Hapo hapana cha kukubali wala kubisha kwani hapana takwimu ulizoweka kwa Namba Bali umeandika tu majina ya Timu na Mabara.

Kama unazo takwimu by Numbers basi weka tupinge au tukubali
 
Manchester City haijawahi kuwa na Washabiki wa kujaza uwanja wao wa Nyumbani waje wawe na mashabiki wa kuizidi Liverpool?
 
Kajiridhishe google. Fan base ya Liverpool ni kidogo kuliko ya Chelsea
Huo wingi muliokuwanao labda huko kwenu Gongolamboto lakini sio Duniani kiujumla.

Huwezi kuwa na mashabiki wengi kumzidi Liverpool
 
Mkuu ungeweka na takwimu zako ingesaidia zaidi kuondoa utata
Sasa hapa tubishe nini?

Unajuwa maana ya twakimu?

Hapo hapana cha kukubali wala kubisha kwani hapana takwimu ulizoweka kwa Namba Bali umeandika tu majina ya Timu na Mabara.

Kama unazo takwimu by Numbers basi weka tupinge au tukubali
 
Manchester City haijawahi kuwa na Washabiki wa kujaza uwanja wao wa Nyumbani waje wawe na mashabiki wa kuizidi Liverpool?
nilijua tu Ngwaba atakuja na sababu
Liverpool ahasa Ngwaba anachotaka tu aone Liverpool inawashabiki wengi kila aspects
Mashabiki Loyal wa Liverpool wako tu Uingereza, kwingine walitimkia kwenye timu zingine hasa Chelsea na Mancity ambazo zimefanya vizuri katika decade ya 2010's
 
Sasa hapa tubishe nini?

Unajuwa maana ya twakimu?

Hapo hapana cha kukubali wala kubisha kwani hapana takwimu ulizoweka kwa Namba Bali umeandika tu majina ya Timu na Mabara.

Kama unazo takwimu by Numbers basi weka tupinge au tukubali
Takwimu zipo mimi niextract msimamo tu ili kuokoa muda, wewe uje na hizo fact figures kama unabisha
 
Kwa Liverpool waliuza nusu ya tishet alizouza Chelsea!?
 
Travel - zeelo sio source ya kueza kutegemea mtu kama mimi..
Angalau ungeweka Forbes ingemake sense
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…