Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Nawatakia ushind mnono Liverpool keshoWillian anayomagoli matano yenye Epl ,Europa ,FA ,Auba na Lacazete wanayo magoli 50+ hata Top four imewashinda ndio tofauti ya wachezaji na wachekeshaji
Kesho mnabondwa kipigo kikaliAron nmeangalia profile yako
Hahaha nmecheka sema nn mkuu nataka niinunue aseno View attachment 1180253
Kinachonisikitisha team yako haiwezi kushiriki Super Cup ,utaendelea kuzitakia team zinazochukua ubingwa zinapocheza .Hebu kwa pamoja mashabiki wa Chelsea tusikitikie Arsenal kwani wao wanakwama wapi kuchukua ubingwa ,inasikitisha sana kuchagua Arsenal kuwa team yakoNawatakia ushind mnono Liverpool kesho
Ili ukajinyonge vizuri
Unamwaga povu kijanaKinachonisikitisha team yako haiwezi kushiriki Super Cup ,utaendelea kuzitakia team zinazochukua ubingwa zinapocheza .Hebu kwa pamoja mashabiki wa Chelsea tusikitikie Arsenal kwani wao wanakwama wapi kuchukua ubingwa ,inasikitisha sana kuchagua Arsenal kuwa team yako
Unapozungumzia London unaizungumzia Arsenal ,Kinachonisikitisha team yako haiwezi kushiriki Super Cup ,utaendelea kuzitakia team zinazochukua ubingwa zinapocheza .Hebu kwa pamoja mashabiki wa Chelsea tusikitikie Arsenal kwani wao wanakwama wapi kuchukua ubingwa ,inasikitisha sana kuchagua Arsenal kuwa team yako
Nenda kashabikie ccm huko mpira huujui ,Kinachonisikitisha team yako haiwezi kushiriki Super Cup ,utaendelea kuzitakia team zinazochukua ubingwa zinapocheza .Hebu kwa pamoja mashabiki wa Chelsea tusikitikie Arsenal kwani wao wanakwama wapi kuchukua ubingwa ,inasikitisha sana kuchagua Arsenal kuwa team yako
Mm nasema msimu mtapigwa hadi mchakae ,sisi wachambuzi wazoefu tunaiona Chelsea ikifurukuta lakini inakata roho , sioni mkipata hata point 1 kwa top 6,
Naona Everton, Watford ,astonvilla , Leicester wakiwabonda
Kufikia krismass Mtabadili kocha lkn wachezaji ni hao hao ,
Mtapigika sana msimu huu
Hauwezi kuwa mshabiki wa Arsenal ukawa na akili toshelevuNenda kashabikie ccm huko mpira huujui ,
Na kesho liver anawakung'uta NNE kwa yaiView attachment 1180502
Inapendeza unapopata nafasi ya kucheza Super Cup kwa kumfunga Arsenal nyoronyoro 4-1 pale BAKU endeleeni kudanga team za watu ,maisha yako yote hautashuhudia Arsenal ikicheza Super CupUnapozungumzia London unaizungumzia Arsenal ,
Hiyo super cup kesho unapigwa na msimu huu utaharisha sanaView attachment 1180499
Mzee mi liva ngoja uoneKesho mnabondwa kipigo kikali
Juzi nilisema mnapigwa 3+ mkaniketea vurugu,
Sasa kesho natabiri tena mnapigwa 2+
Msimu huu nakupiga nje ndani,nahisi utapunguza mahaba na kimeo chako hicho, kwanza naona kama mechi inachelewa asee.kocha lenyewe libovu kutokea EPL amfunge nani huyu?Aliyepata nafasi alikutoboa 4-1 BAKU nafasi zinakuja kwa team zilizo serious tu sio midebwedo kama arsenal.Wewe utazeeka kamwe hautaiona EUFA SUPER CUP ,Makombe hayaji kwa kutajataja majina ya wachezaji
Liva tunaishia namba sita πππ²πMnaanzaga kwa mbwembwe halafu mnakuja kiushia namba 6.