OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Hawa nao ni WCP's ( World Classic Players[emoji53][emoji53][emoji53]Unajua kabisa kipi kitatokea ila unakaza mbongo na kisogo...bila hazard umsumbue nan kibwengo we..[emoji23].... Labda tutapata roho ya huruma mkuu...View attachment 1145772View attachment 1145773
Ahsante kiongozi.Hongereni wakuu kwa kupata kocha mpya.
Mkuu huwa hauna shukurani. Kwako kila kitu ni "Bora tungebakiwa"Kwa Lampard naona ni heri hata tungebakiwa na Sarri Masigara au tumchukue Ole Sendeka wa Man Utd [emoji87]
Hapana ni world class wrestlers...Hawa nao ni WCP's ( World Classic Players[emoji53][emoji53][emoji53]
Mkuu huwa hauna shukurani. Kwako kila kitu ni "Bora tungebakiwa"
Kingine inategemea na wachezaji atakao kuwa nao na jinsi watavyomkubali...Coaching ni kama gambling, haina formula. Anaweza kuwa mkongwe akaburuzwa tu.
Haya ndo mambo nilikuwa nasema, Lamps is a person of highy standards mwaka huu tuna compete. Anayekataa akataeLampard kasema club haina target ya kuwa kwenye TOP 4 kwa sababu Chelsea tayari ni club ya top 4
Have you been set the target of the top four?
No they haven’t and they don’t need to. It is clear that we are a club that can be in the top four. I know the club and the standards. It where we need to be.
Kwa Lampard naona ni heri hata tungebakiwa na Sarri Masigara au tumchukue Ole Sendeka wa Man Utd [emoji87]
bila shaka wewe ni Aroon umekuja na Id nyingineUnajua kabisa kipi kitatokea ila unakaza mbongo na kisogo...bila hazard umsumbue nan kibwengo we..[emoji23].... Labda tutapata roho ya huruma mkuu...View attachment 1145772View attachment 1145773
Basi AROON atakuwa na id nyingi sana.....Kule jukwaani wote wale ni kina aroon..bila shaka wewe ni Aroon umekuja na Id nyingine
Kwa ambaye atakuwa hajakuelewa mawazo yako atakuwa na CHUKI moyoni.
Hakuna kitu wachezaji wanapenda kama KOCHA unakuwa sehemu ya maisha yao kuanzia kufanya wote mazoezi.
Pia wachezaji wanamuheshimu sana Kocha ambaye alishakuwa na mafanikio makubwa sana kwenye club husika.
Mchezaji unakuwa mpole anapokea na kufuata maelekezo na unatamani ufikie mafanikio ya kocha katika club.
Wachezaji watamuheshimu sana Lampard, uwepo wake utaamsha hamasa ya ushindi na mashabiki pia.
Lampard tupo nyuma yako
Haya ndo mambo nilikuwa nasema, Lamps is a person of highy standards mwaka huu tuna compete. Anayekataa akatae
The former Liverpool star Michael Owen has compared Lampard's appointment with that of Pep Guardiola and Zinedine Zidane and insists that Chelsea could benefit from a similar 'risk' to the ones taken by Barcelona and Real Madrid.
"Every managerial appointment is a risk. Guardiola and Zidane are decent enough examples of clubs benefiting from taking a risk on unproven managers in recent years.
Hizo ni nafasi za Arsenal na Man Umnacompete nafasi ya 6
Naona tayari mshamuondoa Jorginho kwenye nafasi yake. Kama hamumpendi mungemuuza tu wakuu timu kibao zitamng'anga'nia
Mkuu kunguru huonekani jukwaani hapaHapo ndio itakuwa vizuri zaidi, tukicheza 4-2-3-1 atakaa sambamba na Kante, tena kidogo wataelekea ile partnership ya Kante na Matic