Kama hujasahau ngoja nikukumbushe Modric alipata kura nyingi kuliko wengine kwa sababu ya Croatia kufika fainali ya Worldcup na Madrid Kushinda UEFA, kilichomuangusha Ronaldo ni Portugal kuyaaga mashindano ya WC mapema. Point kubwa hapo achana na discussions maana sio habari njema kwenu. Point kubwa hapa ni kwamba Ballon d'Or haitolewi kwa individual popularity nazungumza kuweza kutawaa trophy kubwa kwenye Ligue tofauti na timu tofautiKwani discussions za Ronaldo na Messi tokea Fanboys wao walipoanzisha Vita vya nani ni Real GOAT zilishawahi kusita?
Au umeshahu kuwa last season waliendesha Mjadala mzito kwenye Media kuwa Ronaldo katumia jitihada binafsi vs Juve, Bayern na PSG kuipa Real CL then Ballon D'or ikaishia kupewa Modric?
Nakuhakikishia kwa FIFA hii as long as Rinaldo na Messi wana washabiki wao binafsi ambao wanawapenda zaidi wao kuliko mpira wanaoucheza basi kati ya hawa wawili hata Siku moja hawezi kuchukuwa Ballon D'or nje ya Timu ya Real & Barca.
Na ndiyomana last season wakahofia kuzisplit kura zao kwa Ronaldo na Modric jambo ambalo lingepelekea Messi apate kura nyingi na kubeba Ballon D'or mbele ya Ronaldo! Basi kura zao zote wakazipeleka kwa Modric.
Na sezon hii watakapozisplit kura zao kwa Ronaldo na VVD ni wazi kuwa Messi ndiye mshindi wa Ballon D'or
Kwahiyo either Messi, au Wasacrify kura zao zote wazitupie kwa VVD.
Hayo yote ni Mawazo yangu tu Mkuu usije ukaanza kufukua Makaburi.[!B]
Kama hujasahau ngoja nikukumbushe Modric alipata kura nyingi kuliko wengine kwa sababu ya Croatia kufika fainali ya Worldcup na Madrid Kushinda UEFA, kilichomuangusha Ronaldo ni Portugal kuyaaga mashindano ya WC mapema. Point kubwa hapo achana na discussions maana sio habari njema kwenu. Point kubwa hapa ni kwamba Ballon d'Or haitolewi kwa individual popularity nazungumza kuweza kutawaa trophy kubwa kwenye Ligue tofauti na timu tofauti
Mwaka huu labda Messi aweze kuiwezesha Agentina kuchukua Copa America ndipo anaweza kuweka ushindani wa point kwa Ronaldo, apart from that, noway, Ballon d'or haitolewi kindugu inatolewa kwa point ulizo score. Zama kwenye criteria za kutwa hiyo nishani na wacha kuja na porojo za kishabiki
UCL na UNL zina ukubwa unaolingana, Zote ni International Legue zinazogomabniwa na timu bora. Tofauti yake ni moja inahusisha vilabu na nyingine timu ya Taifa. UNL inahusisha mataifa 55 yaliyo chini ya UEFA. Hizo za award kutolewa kindugu I totally do not believe. Hizo ni propaganda zinazoendelea kwenye mitandao tangu zamani kutoka kwa wapinzani wa Ballon d'orKwahiyo WC aliyoshinda Modric ndiyo sawa na hilo kombe la timu 4 aliloshinda Ronaldo?
Je hayo Makombe makubwa ni unamaanisha Serie A???? UNL????
Hayo yote ni madogo kuliko UCL na Laliga! Ni sawa na kuilinganisha Dar na Dodoma ukiamini kuwa Dom ni bora kuliko Dar.
Hivi hizo points zinakuwa electronic calculated au ni kura za watu?
Je hao Macaptain wanaopiga kura unadhani hawana mahaba binafsi na hao wachezaji (Messi & Ronaldo)?
Kama sio mahaba binafsi kwanini Iniesta alipostahili tunzo bado iliishia kupigiwa kura Messi?
Kwanini Beckham alishika nafasi ya 2 ya uchezaji bora wakati tulikuwa tukijuwa wazi kuwa hakuwa hata kwenye group la 30 bora bali alikuwa ni Celebrity tu na mwenye Fans wengi?
Kubali kataa lakini wapiga kura wa tunzo wamejaa ushabiki na corrupted kila idara.
UCL na UNL zina ukubwa unaolingana, Zote ni International Legue zinazogomabniwa na timu bora. Tofauti yake ni moja inahusisha vilabu na nyingine timu ya Taifa. UNL inahusisha mataifa 55 yaliyo chini ya UEFA. Hizo za award kutolewa kindugu I totally do not believe. Hizo ni propaganda zinazoendelea kwenye mitandao tangu zamani kutoka kwa wapinzani wa Ballon d'or
UCL na UNL zina ukubwa unaolingana, Zote ni International Legue zinazogomabniwa na timu bora. Tofauti yake ni moja inahusisha vilabu na nyingine timu ya Taifa. UNL inahusisha mataifa 55 yaliyo chini ya UEFA. Hizo za award kutolewa kindugu I totally do not believe. Hizo ni propaganda zinazoendelea kwenye mitandao tangu zamani kutoka kwa wapinzani wa Ballon d'or
UCL na UNL zina ukubwa unaolingana, Zote ni International Legue zinazogomabniwa na timu bora. Tofauti yake ni moja inahusisha vilabu na nyingine timu ya Taifa. UNL inahusisha mataifa 55 yaliyo chini ya UEFA. Hizo za award kutolewa kindugu I totally do not believe. Hizo ni propaganda zinazoendelea kwenye mitandao tangu zamani kutoka kwa wapinzani wa Ballon d'or
I'm not here for endless discussion! I rest my case
Makombe makubwa duniani
1 World Cup
2 Champions league
3 Europa league
4 Euro
5 Copa America
Hahahaha apo tulijua napo utabisha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1,2, 4 & 5 nakubaliana na Wewe kuwa ni Makombe Makubwa.
Lakini 3 ni Mickey mouse cup kama FA na Carabao tu ndiyomana Washindi wa 4 wa mwanzo wa EPL hawapelekwi wakashindanie unless washindwe huku kwa Wakubwa.
UNL haina credit yoyote kweny balloon dor Yan naweza fananisha na Carabao cupUCL na UNL zina ukubwa unaolingana, Zote ni International Legue zinazogomabniwa na timu bora. Tofauti yake ni moja inahusisha vilabu na nyingine timu ya Taifa. UNL inahusisha mataifa 55 yaliyo chini ya UEFA. Hizo za award kutolewa kindugu I totally do not believe. Hizo ni propaganda zinazoendelea kwenye mitandao tangu zamani kutoka kwa wapinzani wa Ballon d'or
Na kwa nini mshindi wa EUROPA anacheza na wa UCL na mshindi ndo anapewa "super cup"1,2, 4 & 5 nakubaliana na Wewe kuwa ni Makombe Makubwa.
Lakini 3 ni Mickey mouse cup kama FA na Carabao tu ndiyomana Washindi wa 4 wa mwanzo wa EPL hawapelekwi wakashindanie unless washindwe huku kwa Wakubwa.
Makombe makubwa duniani
1 World Cup
2 Champions league
3 Europa league
4 Euro
5 Copa America
We jamaa huwa una vituko na huachi kuvitoa. Wakati mwingine ni heri kukaa kimya kuficha vituko binavyoendelea kukuaibisha kila kukicha.Kumhusisha Ronaldo na tunzo ya uchezaji bora wa mwaka huu ni vichekesho tu. Hana sifa hata ya kuingia top 5.
VVDWatu wengi wanamtaja VVD kwa sababu tu kachukua UCL na player of the year lakini anasahaulika Barnardo Silva ndani ya msimu tu makombe aliyochukua plus individual awards km zingekua ni points basi angemuacha mbali huyo VVD.
>Community Shield
>League Cup (Carling)
>FA cup
>EPL
>UEFA Nations League
^Man City player of the season
^UEFA Nation League player of the tournament
Anastahili kuwepo hata top 3. Mtakaosema hizo ni Micky Mouse Cup someni upya nilicho andika mwanzo.View attachment 1124217
Watu wengi wanamtaja VVD kwa sababu tu kachukua UCL na player of the year lakini anasahaulika Barnardo Silva ndani ya msimu tu makombe aliyochukua plus individual awards km zingekua ni points basi angemuacha mbali huyo VVD.
>Community Shield
>League Cup (Carling)
>FA cup
>EPL
>UEFA Nations League
^Man City player of the season
^UEFA Nation League player of the tournament
Anastahili kuwepo hata top 3. Mtakaosema hizo ni Micky Mouse Cup someni upya nilicho andika mwanzo.View attachment 1124217
Na kwa nini mshindi wa EUROPA anacheza na wa UCL na mshindi ndo anapewa "super cup"
funny guyAccording to Sam TigheView attachment 1124315