Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Nani alijua kama 2016/2017 tungebeba EPL baada ya kumaliza nafasi ya 10 msimu uliotangulia?
Labda kutokee figusu kwenye bodi, ila kama Sari ataendeleza alipoishia, timu ikapress kama anavyotaka Sari basi tutakuwa na solid team msimu ujao. Chelsea inahitaji wachezaji 2 hasa na si zaidi ya hapo. Kama Giroud akiweza kufunga magoli 18+ msimu ujao basi tegemea lolote.
This is Chelsea timu inayobeba EPL kila baada ya misimu 2/3?
Kuhusu Giroud inawezekana asifunge hizo 18+ goals. Lakini usisahau 2017 Chelsea imebeba kombe bila Ashel Cole, Drogba, Lampard, Ivanovic, Terry hakuwa akicheza. Kwa hiyo kwenye football tegemea chochote.Labda ninachokwambia ukitafsiri kuwa ni ubishani! Lakini ukweli ni kwamba Giroud kwasasa hana uwezo wa kufunga Goli 18+ kwenye EPL per season.
Na hizo fikra za kusema kuwa Chelsea inabeba EPL kila baada ya misimu 2/3 anza kuzisahau mapema coz zama zenu zimeshapita hasa ukizingatia Foundation iliyokuwa ikifanya hivyo ambayo asili Yake imejengwa tokea 2004 imeshachoka.
Kwasasa Sarri alikusudia kujenga Foundation ya kwake ambayo imekwamishwa na Ban ya usajili kwa kipindi hichi.
Lakini kwa kikosi ulichonacho hakuna uwezo wa kubeba ubingwa ahead of City hata Siku moja. Nimemtaja City kwasababu anazidi kuinvest a lot of power kwa ajili ya EPL.
Chelsea hawajaongea chochote wala Madrid hawajathibitishaDone deal: Real Madrid na Chelsea wamekubaliana kufika hitimisho la Eden Hazard kwa dau la €100 million (£88m/$112m). Hazard atalazimika kusafiri kwenda jijini Madrid kufanya vipimo vya afya. Sasa Hazard ni mali ya Madrid rasmi
:
Fair price?[emoji383]
Kyatile:Kuhusu Giroud inawezekana asifunge hizo 18+ goals. Lakini usisahau 2017 Chelsea imebeba kombe bila Ashel Cole, Drogba, Lampard, Ivanovic, Terry hakuwa akicheza. Kwa hiyo kwenye football tegemea chochote.
So hao wachezaji uliowataja unawaona walikuwa ni wa kawaida sanaaa?Kuhusu Giroud inawezekana asifunge hizo 18+ goals. Lakini usisahau 2017 Chelsea imebeba kombe bila Ashel Cole, Drogba, Lampard, Ivanovic, Terry hakuwa akicheza. Kwa hiyo kwenye football tegemea chochote.
From your point of perception uko sahihi. Lakini usisahau kuwa wachezaji wanaevolve.Kyatile:
Don't put false hopes kwa mwaka ujao. Tusipokuwa na mfunga magoli kama Diego Costa wa 2015 na 2017 (20+ goals kila msimu) na mtoa assist kama Fabregas wa 2015 na 2017 (almost kahusika na magoli 20+ kila msimu) hatutaweza kubeba kombe, our success will be limited to top 4 kama mwaka huu labda na Silverware juu yake. Hizi hopes ambazo hazipo ndizo zinazowaletea mashabiki wengi kupata matatizo ya kiafya na wengine ku-commit suicide)
So hao wachezaji uliowataja unawaona walikuwa ni wa kawaida sanaaa?
Evolving does not occur overnight, tulishachangia huko nyuma, wako wachezaji wachanga kama akina Pulisic Odoi na Tammy kama wakipewa nafasi lakini evolvement yao inaweza chukua 2 to 3 seasons. Wao akina RLC, Emerson ndio wako kwenye process ya kuevolve, Lakini wazee kama akina Willian, Pedro, Giroud, Luiz, Jorginho, Ross Barkley, Marcos Alonso na hao wengine wa over 25, expect less from their evolution.From your point of perception uko sahihi. Lakini usisahau kuwa wachezaji wanaevolve.
Narudia tusiwe na false hopesKuhusu Giroud inawezekana asifunge hizo 18+ goals. Lakini usisahau 2017 Chelsea imebeba kombe bila Ashel Cole, Drogba, Lampard, Ivanovic, Terry hakuwa akicheza. Kwa hiyo kwenye football tegemea chochote.
Hahahahahahahahahahahaha Ukija kustuka kwenye iyo ndoto tutakuwa tumenyanyua kwapa. Tunajua mnajiamini Sana lakini sisi huwa tupo ili kufanya positive wonders.Come UEFA Supercup final tunawafunga goli 4
Yaani si chini ya goli nne kutoka kwa Firmino, Wijnaldum na Shaqiri
Kuanzia 2010 I have Chelsea wins the title when the pundits put all the odds off it. So let's wait and see the changes that happen in prayers.Narudia tusiwe na false hopes
tuingie ndani Zaidi kwenye uchambuzi yakinifu
Ili timu ichukue ubingwa inatakiwa at least iweze kufunga magoli kati ya 80-90 kwa wastani, ila kwa hali ya sasa ya EPL timu bingwa lazima iweze kufunga 90+ goals
Kama timu inamtegemea mfungaji mmoja ni ngumu kuchukua ubingwa hata kama mchezaji huyo anaweza kufunga magoli 50 kama messi na ronaldo
Kwa hali ilivyo kwa Liverpool na Man city, tunatakiwa kuwa na wafungaji wasiopungua watatu na wawe na uwezo wa kufunga 20+ goals, na midfield na wingers wawili wa kuassists 20+ assists. je hao wafungaji na wakutoa assists 20+ tunao?
Kama hatuna, basi tuna ndoto ya kujenga mwezini wakati hata hapa hapa duniani hatuna uwezo wa kujenga
Pia tuwe na forwards wasiopungua watatu tena wa kufunga 10+ goals
TUKUBALI TU KUWA CHELSEA TUPO KWENYE TRANSITION PERIOD ILIYOSABABISHWA NA BAN YA FIFA
Hahahahahahahahahahahaha Ukija kustuka kwenye iyo ndoto tutakuwa tumenyanyua kwapa. Tunajua mnajiamini Sana lakini sisi huwa tupo ili kufanya positive wonders.
Kulikuwa na wachezaji wenye kaliba ya EPL title na hatukuwa na BAN, kama kweli unaijua Chelsea vizuri na pia hakukuwa na ushindani kama huu wa Man city na LiverpoolKuanzia 2010 I have Chelsea wins the title when the pundits put all the odds off it. So let's wait and see the changes that happen in prayers.
Kuanzia 2010 I have Chelsea wins the title when the pundits put all the odds off it. So let's wait and see the changes that happen in prayers.
Hata mimi nimesoma ila inawezekana appeal ina mapungufuChelsea wamewasilisha rufaa yao leo huko CAS kwa ajili ya kusikilizwa.