Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Kwahiyo unabisha au unataka kusema shuti moja kwa kepa unapata goli 2?shuti mbili za wapi kwa nini unapenda dhambj za kujitakia acha .... Kijana shoot lilikuwa moja
Man u anapigwa Leo, halafu wikiendi analala mbele na Chelsea ,hawez kukubali acheze alhamis peke yake , wakati Chelsea yupo,Chelsea huyu Man U leo akipigwa inabidi mumtie adabu na weekend pia
Man u anapigwa Leo, halafu wikiendi analala mbele na Chelsea ,hawez kukubali acheze alhamis peke yake , wakati Chelsea yupo,
Tena OT, afungwe mech 3 mfululizo, haikubaliki,lazima aende futuhi na chelsea
man U inatakiwa ashinde maana Tottenham inaonekana kabisa nafasi yatatu ni yake mpaka mwisho sasa wasiposhinda leo hamna uwezekano kabisa ingawa Arsenal ana mechi ngumu mbili
Mech zip ngumu za arsenal? Nyie mnataka man u ashinde awasaidien ubingwa, kitu ambacho man u hayupo tayari,man U inatakiwa ashinde maana Tottenham inaonekana kabisa nafasi yatatu ni yake mpaka mwisho sasa wasiposhinda leo hamna uwezekano kabisa ingawa Arsenal ana mechi ngumu mbili
Una uhakika Leo mbweha hafi? Mm nakuhakikishia mbweha anakufa mapema kabisa Leo,Arsenal hawezi mfunga Mbweha leo wala LC Jumamosi.
Nafasi ya nne ni ya mshindi wa Yuropa final kafi ya Chelsea na Arsenal
Mech zip ngumu za arsenal? Nyie mnataka man u ashinde awasaidien ubingwa, kitu ambacho man u hayupo tayari,
Ipo hivi iwapo man u Leo watapigwa,tegemea watamvuta shati Chelsea,
Labda hiyo Europa ,ya ndondo cup,
Una kocha mvuta sigara ,hajawahi kubeba taji lolote ,ndio aje achukue Europa kwa emery master?
Huku umesahau golini una pazia la Β£71m, hahaaa
Burney walipiga mashuti mawili tu, wakapata goli mbili
Bornamouth walipiga mashuti manne wakakubamizeni 4-0
Wolves 3 vs Arsenal 0.Una uhakika Leo mbweha hafi? Mm nakuhakikishia mbweha anakufa mapema kabisa Leo,
Hahahajaja kweli wale ndo MBWA MWITU ..mbuzi nyieeeWale ni mbwa kama cheltako tu, watakula cap,
Halafu wikiendi nyumbu anawabakeni, nadhan utajipiga ban ya wiki tena
Sisi tuna pazia ila lako ni tambara..hahahahahaWewe cheltako kipa pazia wa 71 paun mill, ameifikisha wapi cheltako hadi sasa
Nilikuambia matokeo yenu tunayo...Hata ya Burney ulikuwa nayo kuwa mtashinda zaidi ya 5,
Baada ya dk 90 , ukajipiga ban na kukimbilia jukwaa la mapishi
Hahabaha utakula maneno yako. Leno siyo pazia tena ni tambara..Labda hiyo Europa ,ya ndondo cup,
Una kocha mvuta sigara ,hajawahi kubeba taji lolote ,ndio aje achukue Europa kwa emery master?
Huku umesahau golini una pazia la Β£71m, hahaaa
Burney walipiga mashuti mawili tu, wakapata goli mbili
Bornamouth walipiga mashuti manne wakakubamizeni 4-0
Sisi tukienda futuhi Wewe utaenda wapi?? Championship ama.? HahahahaMan u anapigwa Leo, halafu wikiendi analala mbele na Chelsea ,hawez kukubali acheze alhamis peke yake , wakati Chelsea yupo,
Tena OT, afungwe mech 3 mfululizo, haikubaliki,lazima aende futuhi na chelsea
Hahahaba Man united vip uko ..??Umesahau Kuwa na Liverpool Walipiga Mashuti Mawili tu Wakatumbukiza Magoli 2
Wacha weee, kafa ngapi vile πππππππUna uhakika Leo mbweha hafi? Mm nakuhakikishia mbweha anakufa mapema kabisa Leo,
Habari yako mkuuUna uhakika Leo mbweha hafi? Mm nakuhakikishia mbweha anakufa mapema kabisa Leo,
Kakalia ukuni wa mdogo wake (amin man u 0 - 2 man city)
huyo sijui kakimbilia wapi mara ya mwisho alionekana na matambara .kabla ya kupoteaHabari yako mkuu