OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Ni kweli usemavyo ..ndo maana nikawapa option ya kumchukua Sarri endapo Klopp ana fanya madudu mengine tena.ManCity na Chelsea hawana approach ya project kama timu nyingine.
Timu kama Liverpool kocha mpya anapokuja approach yao ni multi year project sababu ya limited budget
Arsenal ondoa ..yeye anaweza ongeza point tano tu kama siyo nne ..kesho kutwa jumatano anakalishwa..Michezi iliyobaki
3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Arsenal anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
Tupambane na Europa tu!
Ni kweli usemavyo ..ndo maana nikawapa option ya kumchukua Sarri endapo Klopp ana fanya madudu mengine tena.
Mkuu mimi sio wa english medium ..mimi elimu yang daasa la saba tu ..ata sijui nkujibu nini..If that’s the case then you need to recruit a manager who is a winner and a budget of at least 500 GBP in order to get success in one year
Mkuu mimi sio wa english medium ..mimi elimu yang daasa la saba tu ..ata sijui nkujibu nini..
Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal PalaceArsenal ondoa ..yeye anaweza ongeza point tano tu kama siyo nne ..kesho kutwa jumatano anakalishwa..
Hivi 'careless/no concetration' ndiyo kiingereza cha uvivu/uzembe?Kucheza rafu ni mmoja ya indicator ya kukaba wachezaji wetu wazuri lakini wavivu na wazembe(careless/no concentration)
Hivi 'careless/no concetration' ndiyo kiingereza cha uvivu/uzembe?
Vipi wakuu Leo kuna ushindi kweli Leo ?
ushindi upo ila mabeki wasipo ruka na kukaba kwa macho tutafungwa magoli ya vichwa na wood hata matatuVipi wakuu Leo kuna ushindi kweli Leo ?
Apo sawa kabisa.Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71
Michezi iliyobaki msimamo mpya
3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
Dua zako zilale mahala pema peponi. Amen!!Mgonjwa huyu yupo maututi leo sijui atapona goodluck Banley tupunguze midomo
Kama kawaida Sarri na mtoto wake apo kati ...daH!! Uyu mzee sijui kapewa nin na Jogihno, enewei ngoja tuone leo itakuwaje..!
Nothing to say kulingana na kikosi chetu ndio hicho hicho cha mazabe kila siku. Tuombe tupate tupate ushindi