Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Sema sa ivi kipindi cha pili naona kocha aingize striker. Hawa jamaa wanafungika.Keppa
Emerson
Luiz
Rudiger
Azpilicueta
Jorginho
Kante
Loftus Cheek
Hazard
Odoi
Giroud
Kama kocha akipanga hicho [emoji121][emoji121]nina imani ushindi utakuepo. Ila akibug tu akimpanga Alonso tabu tutapata maana yupo slow sana hawez kwenda na kasi ya Mane
Yaa Hazard anakua exposed sana pale katikati, amtoe Odoi aweke striker either Higuain au Giroid.Sema sa ivi kipindi cha pili naona kocha aingize striker. Hawa jamaa wanafungika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan ni mbele tu ndio hakuna ushirikiano. Hapo kwa hii match bora aingie Higuain badala ya Giroud.Yaa Hazard anakua exposed sana pale katikati, amtoe Odoi aweke striker either Higuain au Giroid.
Kashaingia kaka...tusubir bahari ikauke kwa dekioYan ni mbele tu ndio hakuna ushirikiano. Hapo kwa hii match bora aingie Higuain badala ya Giroud.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashaingia kaka...tusubir bahari ikauke kwa dekio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea wenzangu, nadhani tushamuona Refa ni wa ofisi.. sisi tuendelee kubaki na Mungu tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbovu sanaPiga chelsea mbovu hiyo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Liver 2 Chelsea 0 mane and salarNgapi-ngapi jamani?