Stats zake zinafanana na za Hazard ana assists zinazokaribiana na magoli. Lazima atakuwa mzuri kwenye dribbling na kukaa na mpiraChelsea are among a number of Premier League clubs monitoring Ajax winger David Neres, who is expected to cost at least £34.5m this summer.
Hiyo ni kama rufaa yetu itawin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamfatilia ,ila nasikia yupo vzr
Yohana 3:16
Stats zake zinafanana na za Hazard ana assists zinazokaribiana na magoli. Lazima atakuwa mzuri kwenye dribbling na kukaa na mpira
Relax mkuu, hiyo ndio nafasi yetu hadi ligi iishe
Kwani hao walioshikilia hapo walikuwa wa kudumu?
UNAMCHUKIA WILLIAN BAADA YA UWEPO WA ODII BINADAMU HATUNA SHUKRANIYaani ile nafasi angecheza Odoi, mbele kungechangamka. Willian ni mchezaji wa kaliba za juu, ni kwamba hana chemistry nzuri tu hasa striker, Giroud ni mzuri ila hajafikia viwango vya striker wa kasi na mwenye timing za cross-pass zile za willian na hazard
haahaa. Hili tukio linawaumiza sana mashabiki wa loserfool na Gerard mwenyeweHuyu anayeyeendesha page ya Chelsea instagram inabidi achunguzwe. Haeezi kuwa mchochezi kiasi hiki [emoji3][emoji3]View attachment 1071209
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwatumia picha ya demba ba wanatetemahaahaa. Hili tukio linawaumiza sana mashabiki wa loserfool na Gerard mwenyewe
kocha akipanga kikosi kizuri leo, yatatokea kama ya 2013/14 hawataaminiUkiwatumia picha ya demba ba wanatetema
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope update utapata mkuu ..wee piga kazi..Tunakwenda Anfield kushinda tu...amna namna nyingine. Wazee tutaomba update kwa sisi tuliopo Huku ndani ya ziwa Busega tunatafuta riziki.