Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nitafurahi sana kam kipigo kama hiki atapewa Man u maana sana kiherehere sana
 
Chelsea amepigwa sita kwa kujitakia mkuu, baada ya zile nne ilibidi warudi na mkakati wa kuzuia na kushambulia kwa kushtukiza. Khee nikashangaa eti wanataka nao kufunguka na kutaka kumtunishia misuli mtu mwenye Fernandinho huku yeye akiwa na Jorginho.​
 

Mkuu 10 kwa Kiarabu inaitwa A'SHARA

Kwahiyo Chelten au Chelsix kapigwa A'shara.
 
Hichi kikundi ni ngumu kumotivate, sasa wewe umekuwa kama Sarri
 
Kwa mimi upeo wangu ma funs me naona tatizo halipo kwa sari Ila tatizo lipo kwa wachezaji Hawa tukirud nyuma Conte kasepa pale kwa kuto elewana na wachezaji wake monrinho nae ivo Ivo now linakuja kwa sari ,pale dalajan Kuna wachezaji wanajiona wao ndo wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata Cardcitty watatudindishia maana huu mchezo wa jana utawapa confidence, tujiandae kisaikolojia tu nafasi 7/8 maana hata Wolves watatupita
 
Sarri aliyajua hayo yote, kwa nini hakuja na mbinu mbadala?
 
HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE..
Ndugu mwanajf mwenzetu Ollachuga Oc tangu jana hali yake ni mbaya.. Alipata mshtuko wa moyo hiyo jana na kukimbizwa hospitali ya Mount MERU.. Hadi sasa hali yake haijatengamaa, madaktari wanafanya kumuhamishia hospitali ya rufaa ya KCMC..

Maombi na dua zenu ni muhimu kwa kipindi hichi kigumu kwake...
 
Sarri aliyajua hayo yote, kwa nini hakuja na mbinu mbadala?
Ndio maana nikasema kocha katuangusha. Naona ni heri tungemchukua Luis Enrique kuliko hiki kimbunga tulicho nacho sasa. Ngoja tuendelee kumpa muda kwa sababu bado nafasi anayo.

Tupo fainali Carabao, bado tupo EUROPA league. Hata nafasi ya kurudi top 4 ipo pia. Anaweza akashtuka badae

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…