kupitia wewe nimejifunza kitu,hata ukiwa katika ugomvi epuka sana kufuata wale wanaojifanya wanaongea sanaaaaaaaa maana wao ndio wa kwanza kukimbia kikishanuka na wanakuwaga na mbio kwelikweli...........sasa leo wale mabingwa wa kuchonga hapa jamvini wamekuacha wewe peke yako hahahahahahahaha hakuna nyanda za juu kusini wala chalii ya chuganipo hapa naoumba tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeweka historia katika klabu yenu ukumbuke hapoMuwe na KumbuKumbu Sio mnafungua tu mibakuli yenuView attachment 1019381
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kujifariji kumevuka mipaka.I am always blue forever. Whether in winter or summer, in sorrow or happiness, live or dead.
Tugange yajayo!
Mpenzi Wewe upo timu gani?Nawaona wenyeji wanavyochungulia na kutoka