Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Akizuiwa fernandinho asicheze mpira anavyofanya siku zote gemu imeisha ila akicheza kwa uhuru aisee itakuwa ngumu ila mancity Leo anakufa kwao ila gemu itakuwa ngumu sana maana wao wanashinikizo kubwa
 
Kila la heri wadau wetu wa Chelsea

Inabidi Guardiola afundishwe kuwa hii sio La Liga kwa Barca
 
Of course akiondoka mwisho wa mwaka, Chelsea wasingeweza kumuachia January. Mwisho wa msimu akiondoka Chelsea inafursa ya kuingia sokoni na kuibalance timu sawa na kocha anavyotaka
 
Akizuiwa fernandinho asicheze mpira anavyofanya siku zote gemu imeisha ila akicheza kwa uhuru aisee itakuwa ngumu ila mancity Leo anakufa kwao ila gemu itakuwa ngumu sana maana wao wanashinikizo kubwa
Kwa hiyo leo mnamfunga manchester city
 
Nikiwa Kama Nimwenyekiti wa Maombolezo tayari Nimeshakuja na Gari kushusha Viti na Matents kwa Ajili ya Matanga hapa Kwenye Msiba unaotarajiwa Kutokea Hivi Punde.

Nimeshawasiliana na Afisa Bajeti AROON ili tujue tufanyeje Kuhusu Chakula.

Na MC DullyJr atatueleza utaratibu wa Shughuli itakavyoendeshwa.

CC: Ollachuga Oc
 
Akizuiwa fernandinho asicheze mpira anavyofanya siku zote gemu imeisha ila akicheza kwa uhuru aisee itakuwa ngumu ila mancity Leo anakufa kwao ila gemu itakuwa ngumu sana maana wao wanashinikizo kubwa
Inamaana nyie hamna shinikizo?au mmelizika na mnajiandaa kucheza uropa?
 
Wewe hauwaombei washinde[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Leo Man city anacheza against Chelsea na Liverpool[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Akishinda huzuni zinatanda kwenye hizi timu mbili.
Wakati sisi Man United tuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nafasi ya NNE hatung'ooki leo hata kwa greda[emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Leo wenyeji hawatulii hapa wanasubir mpira uishe wamwagike yanachungulia tu
 
Inamaana nyie hamna shinikizo?au mmelizika na mnajiandaa kucheza uropa?
Shinikizo tunalo hasa kuhusu nafasi nne za juu lakini city kwa alichokifanya liverpool jana kuhusu mbio zazaubingwa Shinikizo ni kubwa upande wao na tukitumia huo mwanya kucheza bila shinikizo tutashinda vizur tuu kwa sababu njia tunayopita sis Leo hata man u anaipitia hiyo hiyo inategemeana ubora
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…