[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu nimepaona kuleeeeee,unapokopi.FT thoughts #CHEHUD:
* Hazard unplayable, MOTM.
* Higuain on fire, great link-up with Hazard.
* Christensen very solid.
* Kante played like he Sarri took him home and gave him private lesson.
* We play more direct with less control.
* 5-0 Chelsea. Great reaction. #cfc
baada ya kushnda tano kwa wachovu huder unaona jog anafaa jiulize kwa nini sliva mapasi yupo mbele y mkabaji fernandinho acha ushangiliaji kuwa shabiki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu nimepaona kuleeeeee,unapokopi.
ukulie PirloHahaha mkuu tatizo watu hawapendi kuangalia stats vizuri.
Hesabu haijawai kudanganya.
Kante hawezi kucheza ile nafasi ya jorginho ata kidogo katika mpira wa sarri
Mpira huu wa chelsea wa sasa n kwa sababu ya jorginho.
Na ndio maana timu yoyote ikitaka kuifunga chelsea watamkamia jorginho(muukizen pochetino alishasema)
Siku huyo jorginho wasiompenda akianzia nje timu lazima ita struggle mno.
Kwa mfumo wa sarri ni bora kante akae nje ila sio jorginho
Sent from my iPhone using JamiiForums
Cardiff city 2 - Bournemouth 0
baada ya kutuotea hangover imewalaza chali kwa cardiff
Kwani ya kuotea huwa yanakuwa mangapi na wakati gani?Kuwa na aibu kidogo hivi 4-0 umeotewa? Mbona mwaka jana walikupiga kipigo kama hiki na round hiihii bila kupata lakufutia machozi?
kama game hata hii hana asisit anafanya nini
Hahahahhaha, vita baridi indeed, tena ukizingatia baada ya hiyo game watakutana tena game inayofuata.Man City vs Chelsea Overview.
If Man City win. Pts 59+3=62 ambapo atalingana Liverpool ila atakaa juu ya Liver kwa sababu kamzidi kwa GD kama naye Liver atazingua kwenye game yake japo naombea Bournemouth afungwe si chini ya goli 4 ili ajue uchungu na yeye wa kufungwa 4-0 unavyouma.
If Chelsea draw. Pts 50+1=51 atalingana point na Man U ambaye naye kama atashinda game yake huko. Sijampa Chelsea win kwa sababu tuna asilimia nyingi za kudraw kuliko kuwin coz tupo ugenini halafu sisi ndio tuliomtibua vuzi kwa kumuondolea ule mfululizo wa kutopoteza. Pia form alinayo kwa sasa pamoja na Aguero wake ukilinganisha na sisi huo ndio ukweli. Japo ushindi ndio unatafutwa ugenini.
Uzuri ni kwamba game hii itachezwa ikiwa Liver na Man U wao watakua washacheza game zao Jmosi. So itakua na watazamaji wengi.
Kwa yeyote yule atakayepoteza hii game anajiweka nafasi mbaya mno. Hapa kama nawaona mashabiki wa Liver wanaomba watuazime striker yao huku wakianza kuona Higuain ni bonge la striker [emoji3] huku na Man U nao wanaona kama Fernandinho na Silva wanafaa sana na Pogba kwa hiyo itapendeza wakisimama pamoja huku golini wakimuweka De Gea [emoji23].
Hii ni vita baridi kati ya Liverpool na Man Utd[emoji4][emoji4]. Hahahaa I LOVE THIS GAME.
Sent using Jamii Forums mobile app