Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vp Sari kabadilika au wewe ndio umebadilika.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eden Hazard's game by numbers vs. Huddersfield:

86 touches
12 take-ons completed
4 shots
3 shots on target
2 fouls won
2 goals

💫
 
Niwapongeze blues wenzangu kwa ushindi ila nina mashaka na mchezaji wetu Willian amepoa kama kuku mwenye mdondo
 
Willian na Alonso ni wazembe
Willian kapoa lakini bado anaibukia mechi kadhaa ila Alonso yaani hajitambui kabisa. Sidhani kama hata anajua kuwa anacheza football au netball, anachezea namba gani RB au LW? sidhani kama anajua
 
Leo Hazard kaniudhi tena baada ya kuchambuliwa kuwa mbinafsi, kuna nafasi moja ya wazi kapoteza kisa anamtafuta Higuaín ampasie mpira, Ila saa nyingine kukemea inaleta matunda kwnai leo Hazard kapunguza ubinafsi na matokeo yakawa mazuri, Hazard, Man of the Match
 
Eden Hazard vs Huddersfield.

• 12/12 Completed dribbles 🤯
• 6 Key passes 🤯
• 2 Big chances creates ✅
• 2 Goals ✅

Had another shot on target and selflessly tried to play in Barkley rather than complete his hat trick.

Jewel in the crown.
 
joghno kitu gn cha kusifia
 
Love how whenever we lose the pundits/media blast Sarri for playing Kante & Jorginho in the wrong positions according to them but when they actually put in good performances there they're suddenly mute
 
Hazard on Higuain partnership: "We try to work with each other, Higuain is a new player but he knows what the manager wants. He is a great striker and he can score a lot of goals. England is different than Italy and Spain but he has that ability" #CFC
 
Love how whenever we lose the pundits/media blast Sarri for playing Kante & Jorginho in the wrong positions according to them but when they actually put in good performances there they're suddenly mute

Jorginho is way better passer than kante, Jamaa ndo anaongoza kwa successfull pases epl kwa ma midfield , jamaa anapiga succesfull through balls kuliko midfield yoyote epl. Jorginho can read the game better ya kante. He is the best registar than kante .
Kitu pekee kante alichompita ni kukaba na interceptions ambavyo ukiwa unaposses mpira muda wote(sariball) hutokea mara chache kuliko kupiga pasi.

Sijawai kuelewa kwa nn mashabiki wa chelsea wanataka sarri ampange kante badala ya jorginho as the pivot of sarri ball.
Anaejua anieleshe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
💬 Wigan boss Paul Cook on Reece James:

"I'm not speaking about Reece James. I don't need to. He's player of the month every month, and he's man of the match almost every week. There's nothing else I can say about him. And he's as good a lad as he is a player."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…