Chelsea FC (The Blues) | Special Thread






?! khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


Losing partners khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​




Tor the res centre of attention ... .... . .
Chacha wajomba tusichezee kichapo leo jioni ..... ...
ule mpunga alioleta JT kutoka kwenye mauzo ya unga
na za Lamps zimewakilishwa, khe khe kheeeeeeeeeeeeeee​
 
£35 million price tag Vs £50 million price tag (2-0).Na gem zimebaki only seven,asipo score atakuwa amejiwekea ka record kake.
Wakati Toress ana bwela bwela,Andy Carroll signed as the replacement for Fernando Torres, has got his name on the scoresheet before the Spaniard.what a striker?
 
Nimepita kuwashukuru chesi

ile posa mliyotupa kumuoa binti yangu tourist imenisaidia sana
nimenunua kashamba kadogo (Carrol) na trekta moja kubwa sana (Suarez)
Mungu awabariki sana kwani at least tuna uhakika wa kula na kulala
binti yangu tourist alikua anatusumbua sana akiwa kwenye hedhi kwani alikua hawezi hata kugeuka

MUNGU AWABARIKI
 
Mi sijaona umuhimu wowote wa kumsajili huyu jamaa.Strike force yao ilikuwa nzuri tu,walitakiwa ku boost katikati na beki tu.Badala yake wameenda kujichukulia galasa. Check, On-loan striker Daniel Sturridge anavyofanya vitu kule.wamrudishe kijana and weka benchi babu anelka kijana awe on a regular basis . Kocha anashindwa kuwa amini vijana!

Daniel Sturridge: Six goals in eight games and has arguably been one of the best signings of the January transfer window.while The Spaniard has now laboured through 10 non-scoring appearances in a blue shirt.

Kabla ya usajili:"Fernando Torres deal has bearing on Daniel Sturridge future as Bolton prepare to land Chelsea flop". Haya sasa nani flop?
 
Acheni niondoke lote leo his future will be decided today despite his comments.Na wakati inajulikana kabisa kwamba " Abramovich having made clear through his actions that it is the trophy (CL) he prizes above all others ".That is why they signed Fernando Torres

"My future is already decided," Ancelotti said. "I don't have a problem with this game. It is not important that I have to speak with Roman. When I have a contract, everything is okay with him.
 
Hey! Wazima humu?? Kama mmekimbia vile! Mwambieni Torres apitie Anfield achukue viatu vyake vyekundu alivyosahau kule labda itasaidia aanze kufunga!!!
 
Haya wazee wa The Blues ndio tunaingia uwanjani sasa, kikosi chetu leo:
Chelsea: Cech, Ivanovic, Alex, Terry, Cole, Ramires, Essien, Lampard, Anelka, Torres, Malouda. Subs: Turnbull, Benayoun, Drogba, Mikel, Zhirkov, Ferreira, Kalou.
 
Peasant wote leo wamefyata mkia wamekuwa wapole kama kuku waliomwagiwa maji khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vunjaneni miguu chacha!
 
Khe khe khe khe kheeeeee jamani hapa Chelsick wanabebwa big time Hernandes anaweka chuma kitakatifu haya mpunga kutoka kwa JT wa kuuza unga umeanza kufanya kazi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee very very close call.
 
Kwi kwi kwi kwi hambebeki refa kajitahidi lakini wapi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kazi tunato kipindi cha pili. Tumecheza vizuri kipindi cha kwanza lakini tumefungwa bila kutegemea, finishing yetu sio nzuri sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…