Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Kwa nini Sarri anapenda kutumia hayo maneno ya "I don't know, I don't have power, It was not my decision, etc" linapokuja swala la transfer, contract extension na trades?
Naona kama ni style ya kukwepa lawama au kitu kama kulalamika indirectly.
Kocha hausiki kwenye usajili. Yy anatoa maoni basi. Then bodi ndo inaamua. Hata Conte alikuwa anasema hvyo. Mourinho ndo alipewaga madaraka makubwa
Akisema hamtaki atakuwa hajashiriki?Kocha hausiki kwenye usajili. Yy anatoa maoni basi. Then bodi ndo inaamua. Hata Conte alikuwa anasema hvyo. Mourinho ndo alipewaga madaraka makubwa
Ninatambua, lakini technically kocha lazima awe na opinions zake kwenye transfers na contracts.
Tafsiri ya hizo kauli inakuwa kama hana inputs kabisa kwenye usajili.
Akisema hamtaki atakuwa hajashiriki?
Kwa mm naona bora anaposema I don't know maana c vizur kuanza kulaumu kwa bodi au kutaja wachezaji wa timu nyingne unaowapenda (unprofessional) kama walivyofanya bayern kwa Odoi
Bodi na conte walikuwa na mgogoro kisa costa alihujumiwa kocha akitaka chaguo la kwanza akikosa anaomba la pili ila sio umchagulie unaujua mfumo anaotumia hadi umpe mchezaj sio chaguo lake?Mfano: Conte alitoa maoni ya wachezaji kama Vidal au Naingolan halafu Bodi ikamletea Drinkwater. Hapo ameshriki? Bodi ndo waamuzi
Bodi na conte walikuwa na mgogoro kisa costa alihujumiwa kocha akitaka chaguo la kwanza akikosa anaomba la pili ila sio umchagulie unaujua mfumo anaotumia hadi umpe mchezaj sio chaguo lake?
Bodi na conte walikuwa na mgogoro kisa costa alihujumiwa kocha akitaka chaguo la kwanza akikosa anaomba la pili ila sio umchagulie unaujua mfumo anaotumia hadi umpe mchezaj sio chaguo lake?
Hapo kweli pana tatizo hasa bodiHukumbuki kipind Alonso kaumia halafu Emerson kasajiliwa karibuni. Reporter wanamuuliza Conte kama Emerson ataanza. Na akasema hamtambui huyo mchezaji. Yeye alikuwa anamtaka Sandro wa Juve. Kabla hata ya ishu ya Costa
Kocha alikua anamuhitaji zaidi Higuain mkuu, bora apewe chaguo lake asije akapata kisingizio baadae. Kuhusu huyo dogo kwenda PSG naona kulikua na competition na PSG ndio walioshindaPiatek hatar sjui kwnn chelsea hatukmnnua hyu jamaa bado kjana na n mzur kiungo tena wa argentina nae kaend psg duuuuh hii bodi chenga kwel unampaje majukum ya ksajili mwanamke ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Piatek hatar sjui kwnn chelsea hatukmnnua hyu jamaa bado kjana na n mzur kiungo tena wa argentina nae kaend psg duuuuh hii bodi chenga kwel unampaje majukum ya ksajili mwanamke ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha alikua anamuhitaji zaidi Higuain mkuu, bora apewe chaguo lake asije akapata kisingizio baadae. Kuhusu huyo dogo kwenda PSG naona kulikua na competition na PSG ndio walioshinda