Mlishinda kwa penati 4 kwa 2, kama ulikuwa hujui ndo ujue sasa na uwe unaangalia mechi sio kuangalia magoli na highlights TBC halafu unakuja kubishana na wanaume hapa.Acha unazi wewe Game imeisha Chelsea 2 Spur 1 sasa ushindi wa matuta unatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali Morata kuliko Higuain, ni suala la muda tu kabla hawajaanza kutupigia kelele hapa.Mumepata jembe goal scorer higuain. Hongereni sana wazee. Tarajieni magori mengi kutoka kwake
we nae unamuamin taila jognho
Jamaa anajua ila ni baadhi ya gemu tu ndo anazingua.Barkley kiwango kimeshuka hatar. Everton alikuwa moto
Willian alitaka kumkaribisha Higuaín kwa goli akakataa sijui aliona kifunga goli la penalty itakuwa madharau AU, nawaza tu!Willian offered his penalty to Higuain and the Argentinian declined. Class act from both 👏🏻. Prober Chelsea 🔵
Acha kutumia lugha chafu, Jourginho ni mchezaji mzuri, kiwango chake hushuka mara nyingine kama wachezaji wenginewe nae unamuamin taila jognho
Kiangazi, huyo ni winga mfungaji mzuri sana, ila sasa kuna Hazard, Odoi, Willian, Christian, kwa maoni yangu Chelsea wameweke kwenye reserve list, akiondoka tu hazard wamchukueBreaking! Lille attacker Nicolas Pepe has declared his desire to play for Chelsea. Should Chelsea go for him or not?
Afadhali Morata kuliko Higuain, ni suala la muda tu kabla hawajaanza kutupigia kelele hapa.
Willian alitaka kumkaribisha Higuaín kwa goli akakataa sijui aliona kifunga goli la penalty itakuwa madharau AU, nawaza tu!
aliona mbali pengine angemis ile penalty ingemtoa kwenye mood ya mchezo na sio game hiyo tuu, hata game ambayo ingefuata nadhani ndio sababu alikataa ile penaltyWillian alitaka kumkaribisha Higuaín kwa goli akakataa sijui aliona kifunga goli la penalty itakuwa madharau AU, nawaza tu!
Mkuu mimi sina tatizo na goal scoring record ya Higuain, Ukiangalia Performance yake wakati yuko AC Milan kwa mkopo utaona hajawa na msimu mzuri kivile, amefunga magoli 6 na assist 1 na amecheza dakika 1280. Anaumri mkubwa (32) sidhani kama ataendana na mpira wa kasi uliopo Chelsea sasahivi. Utaendelea kushuhudia magoli ya Chelsea yanafungwa na Hazard pamoja na Willian.Mkuu, kumbuka huko Napoli, juve mambo aliyoyafanya ni makubwa! Tangu aingie ronaldo pale idadi ya magoli imepungua kiac flani. Angalia goal records
-----Years-----------Team-----Apps----(Gls)
2005<>2006---River Plate---35-------(13)
2007<>2013---R. Madrid----190------(107)
2013<>2016---As.Napoli----104-------(71)
2016<>Juventus---73---(40)
2018<>2019---Ac Milan (loan)15------(6)
Mkuu mimi sina tatizo na goal scoring record ya Higuain, Ukiangalia Performance yake wakati yuko AC Milan kwa mkopo utaona hajawa na msimu mzuri kivile, amefunga magoli 6 na assist 1 na amecheza dakika 1280. Anaumri mkubwa (32) sidhani kama ataendana na mpira wa kasi uliopo Chelsea sasahivi. Utaendelea kushuhudia magoli ya Chelsea yanafungwa na Hazard pamoja na Willian.
Na hata kama idadi ya magoli ya Juve imepungua sidhani kama Higuain angeperform vizuri kuliko Ronaldo kwa wakati huu, angalia record zao utaona, Ronaldo anagoli 15 na assist 5 ni wa pili kwa magoli pale Serie A anazidiwa goli moja na yule jamaa wa Sampdoria.
Hatusapoti mashoga sisi. Mwanaume kamili hawezi kuongea kauli kama hii.kama man xity akifungwa mimi naolewa