Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Hiyo sio fake, tatizo wabongo huwa hamsomi story yoteDuu kumbe jamaa katuma fake lineup
CHO leo kacheza kama superstar, anastahili kupewa game nyingi Zaidi ya EPL, nafikiri sari atamalizana naye ili akubali kubakiCallum Hudson-Odoi asked if he has played his last game for Chelsea: “I don’t know. I can’t say. I keep working hard. You never know what happens.”
we nae unamuamin taila jognhoChelsea isipofanya usajili wa mbadala wa Fabregas akiumia Jorginho kazi hakuna. Ampadu sio mbunifu na si technical player hali kadhalika Kovacic na Barkley
huyo ni homa ya vipind sio kiwangoBarkley kiwango kimeshuka hatar. Everton alikuwa moto
Uwe unaangalia mechi wewe , pambafffff kumbe hata sheria za efl huzijuiAcha unazi wewe Game imeisha Chelsea 2 Spur 1 sasa ushindi wa matuta unatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs ni yeam mbovu sasahivi na wanamajeruhi wengi..hata crystal palace kawafunga. Wewe ukimfunga City najipiga ban ya mwaka mzima siingii JF.Acha unazi wewe Game imeisha Chelsea 2 Spur 1 sasa ushindi wa matuta unatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Au hata mechi ya kwanza hukuiona?Acha unazi wewe Game imeisha Chelsea 2 Spur 1 sasa ushindi wa matuta unatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app