Huyo Man City tayari nilishamfunga tena bila kuruhusu nyavu kutikisika na msimu huu lazima tuondoke na kikombe.Msimu huu unaona Chelsea anachukua kikombe gani kwa Team aliyonayo?
Au unahisi atamfunga City?
Tunaanza kunyanyua kwapa Mnamo tarehe 24/02/2019Sasa msimu huu nyie Baba lao mtachukua kikombe gani?
Wambie hao wanaojinadi na man city badala ya team zao kupuyangaCity n demu niliyemtoa bikra hata akiolewa na akawa na cheo kikubwa vp nikikutana nae napiga kokote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha umempatia sana Aisee itakua alikua segereaEPL raundi ya Kwanza city alikaa goli 2 kavuuu, ulikuwa hujazaliwa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Na msimu uliopita tena Chelsea tulikua mabingwa wa EPL City tulimgonga Nje ndani au ulikua bado ujanunua miwani ya machoMsimu uliopita kakupiga mechi zote mlizokutana, au ulikuwa bado hujanunua TV.
Acha unazi wewe Game imeisha Chelsea 2 Spur 1 sasa ushindi wa matuta unatoka wapiYaani unaifunga Spurs ambayo haina Harry Kane wala Son alafu unajiona mkali?
Tena ushindi wa Penati. Msubiri City aje kukunyoosha.
Msije mkakimbiana tu nitaifufua tena hii Post tuombe uzima tuKwa kuwa fainali ni 24/02/2019, basi ngoja tusubiri ile game ya ligi mnayocheza na City tarehe 10/02/2019
Nakukumbusha pia Community Sheild pia alikupapasa.
Chelsea achukue hicho kikombe cha kahawa mbele ya City. Maanina labda Mbeya City
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani msimu wake wa kwanza huyo Pep akiwa Citizens si alipigwa nje ndani sio...?Msimu uliopita kakupiga mechi zote mlizokutana, au ulikuwa bado hujanunua TV.
Aise atakuwa ametisha sana maana amekuwa CB muhimu sana kwa sasa.David Luiz looks set to sign a new one year contract at Chelsea (@brunoandrd)
Iyo pesa unalipa wachezaji wangapi wa Liverpool??Duh Higuain over 250k salary per week?!!
Kweli hela ipo
Kweli, ameenda kwa mkopo ila kuna option yakumnunua wakiridhika nae.
Apo unalipa almost nusu ya first XI ya Liverpool.Ahahahhahahahah
Hapo unamjumlisha Shaqiri, Chamberlain, Giorginio
Ila kwa maono yangu Higuan ameshashuka kiwango tokea alipotemwa na Real Madrid sasa duh?!!
Ahahahhahahahah
Hapo unamjumlisha Shaqiri, Chamberlain, Giorginio
Ila kwa maono yangu Higuan ameshashuka kiwango tokea alipotemwa na Real Madrid sasa duh?!!
Sakata la kumtoa Juve ili ampishe CR7 nafikiri kama unavyosema hakuipenda hiyo moveSio kweli mkuu alivyotoka Madrid alienda Napoli na bado alifanya vizuri tu hadi Juve wakamsajili na alifunga magoli mengi tu, uhamisho wake wa kwenda Ac Milan kwa mkopo inaonekana hakuwa tayari kucheza Ac Milan nafikiri ndio kitu kilichomfanya adrop kidogo ila naamini bado ni mchezaji mzuri acha tuone