Mkuu vyuma vikibana unakuwa na adabu, vikilegea kiburi kinapanda. Hao Man U wakati vyuma vinabana walipotea hata mtaani kulikuwa shwari wakati miaka ile ya Furgie utadhani Man U ni ya TZ kama ilivyo Simba na Yanga.Daah yan sasa ivi mnavimba kweli. Kipindi cha Mou wewe ulikua hutokei humu. Kweli maisha yanabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo CHO bado sana, anafaa kupewa dk 10-20 tu
1. Hazard, Higuaín, Willian
2. Hazard, Higuaín, Pedro
Hazard akipumzishwa ndio anaweza cheza namba yake akishirikiana na Willian
1. CHO/Willian, Higuaín, Pedro
Ndivyo kocha anafanya na ataendelea kufanya until Odoi aonyeshe improvement kwenye stamina, speed ,a creativity among othersWillian??? No end product. Odoi>Willian
Chelsea haiwezi kuwa bora kwa ARSENAL FC aiseeeee acha matusi katika soka,Uyo dully Jr ni shabiki wa Arsenal hawezi kuwa shabiki wa timu bora kama Chelsea..
Sent using Jamii Forums mobile app
teheetehe ni bora kukaa kimyaChelsea haiwezi kuwa bora kwa ARSENAL FC aiseeeee acha matusi katika soka,
Timu ambazo zinaweza kuwa bora kwa arsenal pale EPL ni mbili tu Nazo ni LIVERPOOL na MANCHESTER UNITED........Chelsea ni bora kwa spurs,Fulham,Watford,Wigan athletics na kina Blackburn rovers huku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal is DEAD, sio timu kubwa tena labda ianze upyaChelsea haiwezi kuwa bora kwa ARSENAL FC aiseeeee acha matusi katika soka,
Timu ambazo zinaweza kuwa bora kwa arsenal pale EPL ni mbili tu Nazo ni LIVERPOOL na MANCHESTER UNITED........Chelsea ni bora kwa spurs,Fulham,Watford,Wigan athletics na kina Blackburn rovers huku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
jognho hovyo tuChelsea rating against Tottenham by Sami Mokbel or Dailymail
- Eden Hazard - Back in his favored role, back to his best. Inspirational from the brilliant Belgian. 8
- Antonio Rudiger - Has become a key figure for Chelsea this season. Stood firm for his team. 7
- Jorginho - One of his best performances in quite a while. So much more intent in his passing. Booked. 7
- N'Golo Kante - Rather fortuitous goal but his typically all-action display warranted such luck. Booked. 7
- Pedro - Gave Ben Davies and Danny Rose a hard time with penetrating wing play. 7
- David Luiz - Displayed a wonderful range of passing but questions over his defending for Llorente's goal. 6.5
- Cesar Azpilicueta - Huge role in Chelsea's crucial second. Dependable as ever in defense. Booked. 6.5
- Emerson - Looked very comfortable again. Must be pushing first-choice left-back Marcos Alonso all the way. 6.5
- Ross Barkley - A mature and incisive performance in the engine room. Quick thinking led to Chelsea's second. 6.5
- Olivier Giroud - Not the most eye-catching display, but his selection brought the best out of Hazard. 6
- Kepa Arrizabalaga - Had virtually nothing to do until picking the ball out of the net. 6
Una UEFA wewe.?Chelsea haiwezi kuwa bora kwa ARSENAL FC aiseeeee acha matusi katika soka,
Timu ambazo zinaweza kuwa bora kwa arsenal pale EPL ni mbili tu Nazo ni LIVERPOOL na MANCHESTER UNITED........Chelsea ni bora kwa spurs,Fulham,Watford,Wigan athletics na kina Blackburn rovers huku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea haiwezi kuwa bora kwa ARSENAL FC aiseeeee acha matusi katika soka,
Timu ambazo zinaweza kuwa bora kwa arsenal pale EPL ni mbili tu Nazo ni LIVERPOOL na MANCHESTER UNITED........Chelsea ni bora kwa spurs,Fulham,Watford,Wigan athletics na kina Blackburn rovers huku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Arsenal ni bora mbona mnasotea Europa miaka nenda rudi?, wala sina rekodi ya miaka gani Arsenal iliweka rekodi ya kuwa timu bora EPL ukiacha enzi za akina Thierry Henry. At least Chelsea tangu miaka ya 2000s todate wameendelea kuwa timu bora na wivu utakukula mpaka mjifie huko na kagenge chenuChelsea haiwezi kuwa bora kwa ARSENAL FC aiseeeee acha matusi katika soka,