Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Timu nzuri kwenye kushambulia iko vipi.?mfumo wote n mbovu kufunga goli si lazima muwe na forwar ndio upate goli 100 timu yangu cfc ni mbovu ktk kushambulia
TUNAWAKUMBUSHA TU, NEXT WEEK NI CHELSII vs ARSENANE
[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda stats zangu ziko wrong lakini kwa creteria nilizotaja hapo juu bado PEP anazo sifa za kuwa kocha bora kuliko Mou hasa kwa kipindi cha sasa, success aliyopata PEP ni ya ndani ya muda mfupi na bado ana maintainMourinho overall ana makombe 25
Pep overall ana makombe 24 na baada ya kushinda Champions League Mourinho alikuwa anahama timu so alikuwa na chance ya kushinda 4 more trophies (UEFA Super Cup & Club World Cup)
Statistics never lie but liers use statistics
Sent using Jamii Forums mobile app
Pep akiwa na possible one of the best team of all time (Barca) ni Mourinho pekee aliweza kuchukua La Liga mbele ya Pep na pia alimfunga Pep akachukua Champions LeagueLabda stats zangu ziko wrong lakini kwa creteria nilizotaja hapo juu bado PEP anazo sifa za kuwa kocha bora kuliko Mou hasa kwa kipindi cha sasa, success aliyopata PEP ni ya ndani ya muda mfupi na bado ana maintain