Sema inasikitishaa kubaki mpaka msimu uishe make usajili huu ulikuwa bora kwa sasa hasa kwa kuwa huyu mtu anaweza /ni mbadala wa wiliam na pedro ...sijui kwa nini wameafikiana hivo ...au ndo yale boss anataka menejaa hataki kwa sasa
Chelsea Youth
1. It’s not a Sarri problem or a Conte problem or a José problem, it’s a Chelsea problem.
2. Managers can’t favor youth when their job is in jeopardy the day they sign.
3. Makes it harder when the club signs mediocre veterans unnecessarily to jump ahead of youth.
Kupigwa hapa wamepigwa, maana hata rate ya ufungaji wa magoli ni ndogo,Hata mzigo mliotoa mmepigwa pia £ 58 ml kwa mchezaji mwenye mkataba unaoisha 2020 ni nyingi mno but the way Pulisic bado ni Average player sana.
Huyu Mzee akishavuta fegi zake anakuwa kama Kenge wakati wa kukimbia mvua. Timu haifungi magoli na bado anasema hana shida na strikers, hata kama hazard yupo tunahitaji mbadala, akiwa injured je, Hello Sarri come out of the boxHii statement nmeshangaa sana kuwa hatuna shida ya striker. Hazard kuwa false no 9 inafaida na hasara zake. Kama crosses nyingi hazna effect pale kati
Youngsters wanahitaji muda mrefu kuzoeza kufunga. Tukiwazoeza hawa dogos tutakuwa kama Arsenal ya wenga. Tunawahitaji kwenye low profile games kama Karabao ili wapate ujuzi kabla ya kuwaweka kwenye XI ya EPL au mechi kubwa kama UEFAKwa hyo Odoi akianza hatutakuwa tunashinda mechi?
Finally someone admit it ,sidhani kama mnakumbuka Chelsea wana beki anaitwa Andreas Christensen ambaye msimu uliopita alikuwa kwenye starting 11Chelsea Youth
1. It’s not a Sarri problem or a Conte problem or a José problem, it’s a Chelsea problem.
2. Managers can’t favor youth when their job is in jeopardy the day they sign.
3. Makes it harder when the club signs mediocre veterans unnecessarily to jump ahead of youth.
Hivi Marina yeye hajazuiliwa Uingereza kwa sababu za Kisiasa?Icardi,Koulibaly no chance
Our board has never been competent kwenye usajili,a reason why we need a DoF.Marina anazingua sana
Expect Wilson/Higuain
The below par players are what we are made of[emoji23][emoji23]
Sent using JF For iPhones
Hivi kati ya Liverpool na Chelsea who is a failure, au mwaka huu mmebahatika kumsindikiza bingwa kwa kutangulia mbele ndio mnatamba eh!Yani nyie wajinga mna tamaa sana, yan kila mchezaj ambaye liver anaonesha interest na nyie lazima mumtake. Hii ndio sababu team yenu inafeli sana sababu hamna macho ya kuona nani anawafaa ila mnasubir mpaka wengine wamuone nyie ndo mumuone.
Hawa dogos sio wa kuwaendekeza, wanahitaji kukua. Hakuna big team ambayo imewajaza uwanjani hao makinda. Timu ikiwajaza hawatakaa washinde. Sarri kasema vizuri kuwa mashabiki wanawapenda makinda wacheze lakini hao hao mashabiki timu isiposhinda watapiga makelele mpaka kocha atimuliwe. Kuhusu Andreas alifanya vizuri sana mechi za mwanzo za Conte lakini alikuja kutibua na ile pasi fyongo kutoka kushoto mwa uwanja hadi kulia na kumpa mfungaji afunge. Nafikiri ilikuwa UEFA Chelsea na Barcelona Feb 2018 ambamo Chelsea ilikuwa ikiongoza kwa goli moja lililofungwa na Willian. Mistake hiyo ndio iliyomgharimu. Nimemfuatilia baada ya hapo bado sio mzuri kwenye decision making akiwa na mpira, hachukui tahadhari hata kama hayupo kwenye pressure utamshangaa tu anaweza kuamua just like a teenage. wachezaji wengi wa academy wana tatizo kama la Andreas kwenye maamuzi ambayo ndiyo mara nyingi hucost timu. Wanatakiwa kupewa limited chances ili waonyeshe kama wamekomaa kama anavyopewa Loftus Cheek na OdoiFinally someone admit it ,sidhani kama mnakumbuka Chelsea wana beki anaitwa Andreas Christensen ambaye msimu uliopita alikuwa kwenye starting 11
Ndio makubaliano ya manunuzi, kiangazi sio mbaliSema inasikitishaa kubaki mpaka msimu uishe make usajili huu ulikuwa bora kwa sasa hasa kwa kuwa huyu mtu anaweza /ni mbadala wa wiliam na pedro ...sijui kwa nini wameafikiana hivo ...au ndo yale boss anataka menejaa hataki kwa sasa
Leo tunampakata mtu usijaliNyie watu wa chelsea em nambien mnaonaje leo mnashinda au vp! Nataka nijilipue na nyie mnipe hela! Jana arsenal walinipa; sasa ole wenu mana naona big 4 ni kwa tochi saiv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante ila inabd pulisic acheze leoLeo
Leo tunampakata mtu usijali
Tatizo Chelsea sio timu ya ku-develop young players ndio maana wana wachezaji zaidi ya 20 wanaocheza kwa mkopo na baadae watauzwa huwa nashangaa Mourinho anavyolaumiwa kuwa aliwauza Salah & De BruyneHawa dogos sio wa kuwaendekeza, wanahitaji kukua. Hakuna big team ambayo imewajaza uwanjani hao makinda. Timu ikiwajaza hawatakaa washinde. Sarri kasema vizuri kuwa mashabiki wanawapenda makinda wacheze lakini hao hao mashabiki timu isiposhinda watapiga makelele mpaka kocha atimuliwe. Kuhusu Andreas alifanya vizuri sana mechi za mwanzo za Conte lakini alikuja kutibua na ile pasi fyongo kutoka kushoto mwa uwanja hadi kulia na kumpa mfungaji afunge. Nafikiri ilikuwa UEFA Chelsea na Barcelona Feb 2018 ambamo Chelsea ilikuwa ikiongoza kwa goli moja lililofungwa na Willian. Mistake hiyo ndio iliyomgharimu. Nimemfuatilia baada ya hapo bado sio mzuri kwenye decision making akiwa na mpira, hachukui tahadhari hata kama hayupo kwenye pressure utamshangaa tu anaweza kuamua just like a teenage. wachezaji wengi wa academy wana tatizo kama la Andreas kwenye maamuzi ambayo ndiyo mara nyingi hucost timu. Wanatakiwa kupewa limited chances ili waonyeshe kama wamekomaa kama anavyopewa Loftus Cheek na Odoi