Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Alichokiongea sari yupo sahihi kulingana na mfumo anaoutumia kwa kwa sasa maana jorginho ndio anae initiates pass maana tunapiga pass kuanzia nyuma kwenda mbele@ tofauti iliopo kati ya kante na jorginho ni kwamba kante ni mzuri kukakaba lakini jorginho ni mzuri timu ikiwa na mpira na kwa kuwa mfumo wetu sasa unataka tuuchezee mpira sana hivyo sari hawezi mkwepa jorginho kucheza central midfielder labda abadilishe mfumoMAJIBU YA KIUFUNDI BAADA YA WAPENZI KUHOJI KWA NINI SARRI ASIMCHEZESHE N'GOLO KIUNGO WA KATI.
Kante is regarded as one of the leading defensive midfielders, winning the World Cup and two Premier League titles in the last three seasons, but Sarri says he does not have the skillset to play the holding role in his system.
"I want to play a central midfielder who is a very technical player, so for me, the central midfielder is Jorginho or (Cesc) Fabregas. I don't want Kante in this position.
Unaridhika na majibu haya??
I think Kovacic isn't really a CM, Jorgninho is a CM at Chelsea. I think it is proper to call Kovacic position an LMFWillian has assisted Hazard 4 times in 6 Years at Chelsea.
Mateo Kovacic has assisted Hazard 2 times already in 6 months.
One is a Winger and one is a CM. Can you see why people hate Willian ....