Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
EPL ni ngumu Sana, na mbaya zaidi kila mwaka inazidi kuwa ngumu , unatakiwa kuwa na kikosi kipana Sana kuweza kumaintain EPL, FA na champions league , next match Una Wolverhampton, hawa mbweha ni mabingwa wa kung'ang'ania timu kubwa
Hawa wanaweza kusumbua ila watakufa, shida iko games za tar 29 vs Arsenal na 3 Jan vs Man City. Hapo ndo Man City anao uwezo wa kurudi juu.
Yeye ana away game vs Leicester, sina uhakika kama Leicester wataweza kuhold.
Leicester hawana uwezo wa kuwazuia Man city labda muujiza utokee , all in all ni timu chache sana zenye uwezo wa kumzuia man city, cha muhimu ni kujihakikishia unakusanya point 3 kwenye game zako
At least kwa hii round ya kwanza tumempa changamoto, ngoja tusubiri kuona round ya pili inakuja na nini.
Nimesikia tetesi za Man City kuongeza beki dirisha dogo, kucover majeruhi.
Naona umepewa Bayern Munich kwenye round of 16, Bayern huyu mnyonge unamuweza kabisaa
Cha muhimu unatakiwa kushinda kwa goal difference kubwa ukiwa Anfield ili usije ukafia uwanjani ukiwa MunichUEFA ni ngumu sana, hasa ukikutana na wakongwe, muhimu ni kutopanick.
Jamaa hawajawa na msimu mzuri kipindi hiki, ila mpaka Feb ni mbali, chochote kinaweza badilika. Ila tuna imani.
Cha muhimu unatakiwa kushinda kwa goal difference kubwa ukiwa Anfield ili usije ukafia uwanjani ukiwa Munich
Hata hizo 2 zitakutosha kabisa, wakijaribu kufunguka Arena nyinyi mtajiongezea goli za ugenini tu, pia kumbuka msimu huu hamjafanya vizuri kwenye aways game za champions league kwa hiyo ni lazima mmalize mchezo nyumbaniHiko ndo cha muhimu, shida ya UEFA game zinakuwa so defensive, kiasi kupata goli difference ya 2 ni bonge la mtihani.
So far, we hope kwamba tutapita, at least on paper.
Hata hizo 2 zitakutosha kabisa, wakijaribu kufunguka Arena nyinyi mtajiongezea goli za ugenini tu, pia kumbuka msimu huu hamjafanya vizuri kwenye aways game za champions league kwa hiyo ni lazima mmalize mchezo nyumbani
Siku ya wapendao hiyo. Hawa jamaa wamehangaika na sana kufika hii hatua kwa hiyo kwakua tunaanzia kwao wanaweza kutushangaza.It is Malmo, round of 32View attachment 970496