Hapo ndio akili yako imeishia? Wewe kwanza sio mßhabiki wa mpira labda Lipuli au mbaoChelsea wanaoweza kupata namba spurs first eleven ni hazard na kante basi ,wakati mwingine tunaweka upenzi pembeni ,kikosi bora kabisa ni city ,pili Spurs.nimalizie kuunga mkono hoja spurs tishio hawana kocha wa ubingwa
Hakuna team naiogopa kama spurs vitimu vidogo vyote anavipiga kwangu huyu ni hatari kuliko Liverpool alianza ligi kwa uchovu wa world cup kumbuka ni team moja ilikuwa na wachezaji wengi world cup,pia walikuwa na injury
Hah hah hah....I hope Morata's injury is not too bad. I want him to be fully fit when the winter transfer window comes, so that he can leave in January [emoji85] A long-term injury will reduce his chances of leaving in January. [Damn I'm so evil] [emoji85]
Nauliza tu
Pochettino angepewa timu moja kati ya hizi zingeboreka zaidi au zingekuwa pale pale au zingezorota zaidi
Chelsea
Liverpool
Man united
Arsenal
Hata liverpool sio wavumilivu ni vile klopp anawafurahisha na soka la kushambulia tu mmesahau yote subir akose ubingwa wowote msimu huu utaona moto wake blendan rogers mbona hakuvumiliwa kama klopp?Nadhani Liverpool na Arsenal kungemfaa zaidi, kwa sababu kati ya hizo timu nne ni hizo mbili ndizo ambazo zina level kubwa ya kuwavumilia makocha wakiwa wanatengeneza timu zao.
Sina uhakika sana na Pochetino akipewa timu yenye fedha jinsi atakavyozitumia, lakini level ya uvumilivu kwa Chelsea na Man Utd ni kikwazo sana kwa makocha, demand ya kudeliver ni kubwa sana.
Hata liverpool sio wavumilivu ni vile klopp anawafurahisha na soka la kushambulia tu mmesahau yote subir akose ubingwa wowote msimu huu utaona moto wake blendan rogers mbona hakuvumiliwa kama klopp?
Ccm na mpira wap na wap??
Hapo ndio akili yako imeishia? Wewe kwanza sio mßhabiki wa mpira labda Lipuli au mbao
Spurs anawacheza kwenye ubora wa hali ya juu ,team haijawai kubeba ubingwa recently lakini toka 2015-2018 misimuitatu ndiyo team pekee imeweza kutoa wachezaji 3-4 kwenye kikosi bora cha EPL kila mwakaUna haki ya kusema unaiogopa Spurs, maana kakufunga.
Vipi Arsenal umewaangalia?