Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Belive me, Sarri hapedi kubadilisha 1st 11 yake, Wachezaji 10 wataendelea kupata nafasi zao kwenye ligi a Euopa
View attachment 955646
Sub: Willian, Andreas, Odoi, Kovacis, Reben Loftus Cheek; Geroud
Ana akitoa sare Next game hakuachi na shukuru tu umepinea chupa chupa kwa WartfordKesho Chelsea ana droo.
umebet AU!Kesho Chelsea ana droo.
Hivii wadauuu yulee mchezaji bora wetuuu wa msimu wakat ligi inaanza bwana hazard anaendeleajeeee na magoli yake huko darajaniiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
City tu ndio afadhali, hao wengine mabomu, "Nyani haoni kundule" anaona za wenzake tu! so SADChelsea ni dhaifu sana pale EPL yani hata Fulham wana afadhali,