AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
EPL wote wana magoal 7. Sasa sikuelewi unachokiongea. Na Hazard alipata injury. Mins played Hazard (875) Salah (1,115) dakika walizocheza. Mara unaniambia mmekatazwa asicheze ha ha hah. Nshajua we ni shabiki wa aina gan
Salah ni namba nyingine wewe, World Top3 player usimfananishe na vitu vya kijinga.
Goal la 7 sasa, subir sasa uone vumbi atakalowatimulia maana yeye kila mechi lazima atupe wavuni.
Hapa na ww umeenda mbali salah kumfananisha na vardy? Kuwa na heshima kidogo mambo aliyofanya as roma si haba hadi hapo liverpool sema vile chelsea ya mourinho ilikuwa na watu tu kipind kile nakumbuka arsenal anakufa bao 6 kwa chelsea zile movement zake za goli la 6 zilijionesha ni mchezaj mzur tuMkuu umeanza tena ubishi? yaani namba nyingine kwa mchezaji aliyevuma msimu mmoja tu? mashabiki maandazi mnashida sana, hivi utofauti ya VARDY aliyechukua ubingwa na LEI na Salah ni upi?
Usajili ni essential hili halina ubishi, Willian ni jeuri kiburi na mchoyo, Morata viatu vya Costa vilishampwaya zamani. goli la pili limetengenezewa upande wa Kante na Azpilicueta na lawama kipa hakosi maana hata kuruka tu hakuruka ilhali anaona kabisa shuti linakuja. Goli la tatu ni counter attack ambayo imemkuta Alonso out of position na ndio hasara ya full back kuwa mzito kushuka anapopanda Kovacic anahusika sababu ndio upande wake wa kukaba, Jorginho asilaumiwe sana sababu holding midfield anasupportiwa na namba nane kwenye kuvunja mashambulizi, in that case it was Kovacic
Chelsea hii ukikaba Hazard kwisha habari , Pedro na Willian utawaona kama timu pinzani ina beki mbovu na Tottenham haiko hivyo! huku nako viungo wanaosupport mashambulizi (Kante & Kovacic) uwezo wao bado mdogo sana kuwasuppliment strikers
Mi mkuu ntapishana na wewe kwenye majukumu ya holding midfield unae kiungo wa hiyo nafasi duniani kama ukutaja viungo watata wa nne basi ni kante,busquet, casemiro mwingine nimensahau sasa sari anamchezesha wapi kante? Huyo jorginho hakosi lawama kakaa nahali pa kante kuhisi hatar
Mi mkuu ntapishana na wewe kwenye majukumu ya holding midfield unae kiungo wa hiyo nafasi duniani kama ukutaja viungo watata wa nne basi ni kante,busquet, casemiro mwingine nimensahau sasa sari anamchezesha wapi kante? Huyo jorginho hakosi lawama kakaa nahali pa kante kuhisi hatar
Yani jamaa angecheza mbele ya kante ingekuwa na faida sana ila makocha nao wanamipango yao mkuu.Hivi Jorginyo hawezi kusogea mbele ya Kante ili kante achepe hapo kati ya mabeki wetu hawa ambao hawana uwezo wa kupunguza kasi ya mpira, wachezaji wote watano wanakimbia kurudi nyuma amna anayemfuata adui bali wanazidi kumuingiza ndani ya 18. Ujinga ule Bosquet,Kante au Casemiro au Ndembele na Wanyama hawawezi kufanya.
Hivi Jorginyo hawezi kusogea mbele ya Kante ili kante achepe hapo kati ya mabeki wetu hawa ambao hawana uwezo wa kupunguza kasi ya mpira, wachezaji wote watano wanakimbia kurudi nyuma amna anayemfuata adui bali wanazidi kumuingiza ndani ya 18. Ujinga ule Bosquet,Kante au Casemiro au Ndembele na Wanyama hawawezi kufanya.
Kante huwa anapoteana sana, ni DM mzuri ila watu wamekariri hivo, huwa nashangaa sana game za Arsenal anavyozururaga ovyoGoli la pili limefungiwa upande wa Kante
Na cheli akafa 5Hapa na ww umeenda mbali salah kumfananisha na vardy? Kuwa na heshima kidogo mambo aliyofanya as roma si haba hadi hapo liverpool sema vile chelsea ya mourinho ilikuwa na watu tu kipind kile nakumbuka arsenal anakufa bao 6 kwa chelsea zile movement zake za goli la 6 zilijionesha ni mchezaj mzur tu
Kante huwa anapoteana sana, ni DM mzuri ila watu wamekariri hivo, huwa nashangaa sana game za Arsenal anavyozururaga ovyo
View attachment 947105
Umekariri ndio maana unasema hivo, humjui Toreira weweTuwe wakweli kijana kimsingi EPL, La Liga sijaona kiungo wa namba sita au namba nane yeyote ukiacha Busquets(ambae anastaafu hivi karibuni) ambae anamkaribia kipaji, uwezo ama kiwango Mfaransa Ngolo Kante
Inatakiwa kuwepo ushabiki wa soka na ushabiki wa kitimu vyote kuwa balanced at the end
Man city watatufunga tu, wametuzidi vitu vingi mno na wametuacha mbali mno kwa aina ya mchezaji mmoja mmoja. Willian kaflop, pedro kaflop, morata ndo mama yangu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzigo wote tunammbebesha hazard hawezii naee anachokaaaChelsea bado mnacheza CL mwakani,hiyo ndiyo iwe ambition yenu mwaka huu,ubingwa waachieni Man City vs Liverpool.
Mnacheza na Man City weeks mbili zijazo hapo Darajani!
Mki approach game kama hii na Spurs watawafunga hadi aibu.
Hhhhh eti wamuulize Cristiano...umenikumbusha katikati ya mwaka..Umekariri ndio maana unasema hivo, humjui Toreira wewe
Kante namjua toka yopo leicester
Kante huyu ambaye huwa anapotezwa na Ozil ?
Kante ni DM anayezurura tu, kante sijui kwanini mnakariri anajua sana , wakati sivyo,
Kante nimekuwa namfatilia game za arsenal toka lei, huwa anatia huruma sana,
Toreira hii mtu achana nayo kabisa ,
Kwanza anacheza namba 2 kwa ufasaha wa hari ya juu, box to box anakupigia vzr kitu ambacho kante hakiwez, anafosiwa sasa hiv na sarri,
Ukija kwa DM, sijaona kama TOREIRA epl...nzima, nimeweka ushabik pembeni
[emoji648] @LTorreira34's numbers yesterday...
[emoji2397][emoji2389]% passing accuracy [emoji457]
[emoji647]km covered [emoji125]
[emoji647] ball recoveries [emoji664]
[emoji2396] duels [emoji95]
[emoji2390] tackles [emoji732]
...and yet another man-of-the-match award [emoji94]
Na hii ndio mech ambayo alichoka sana. Na akaomba sub, lkn bado akabak MOT
HII MTU WAUIZE LIVERPOOL ,au muulize CR7View attachment 947230