Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Usisahau hujacheza na Everton, Watford, Wolves na hata BornamouthBaada ya International break mtacheza na Spurs na Man City!
Natanua gap hadi points 8 na mnajitoa wenyewe ktk title contender!
Niliwaambia mapema sana mwaka huu jengeni team kwanza lkn mwakani mtakuwa wazuri mkimleta namba 9 mpya !
Wewe jamaa unaongea kama hauna akili.
Sisi bado tuna kikosi kipana sana na tunaweza kushangaza hawa fan boys wa klopp na Mourihno kwa kuwafunga man city ..
Kama wao wameshiñdwa sisi tutafanya kweli.
Ndio mara zote mnaishiaga kusema ivi ivi.Assume kwamba position tuliyopo ndo tunayomaliza nayo kwenye kundi.
Ndio mara zote mnaishiaga kusema ivi ivi.
Una enjoy moments while unajua mwisho wa msimu yatakua ni yale yale misimu iliyopita.Nimejibu swali kulingana na jinsi ulivyouliza, huu msimu ni mrefu sana.
Ila mimi Sera yangu huwa ni kufurahia kulingana na wakati niliopo.
Mambo ya msimu kuisha yatajisettle, hainizuii kushangilia leo kisa tu sijui mwisho wa msimu utakuwaje.
Stop comparing Pep & Sarri
Pep in his 1st season struggled to get his team playing his style & over 3yrs, he has make the team his with quality signings, meanwhile Sarri inherited shit players. His genius has taken us to 18games unbeaten.
Back him in the summer & he'll deliver.
Una enjoy moments while unajua mwisho wa msimu yatakua ni yale yale misimu iliyopita.
Sawa mkuu, tuombeane uzima.
Kunawakati nnamisi diego Costa mnyama huko alipo hana enjoyment yoyote, mechi kama ya West Ham na everton tungeshinda 1-0 safi
Usisahau hujacheza na Everton, Watford, Wolves na hata Bornamouth
Hizi over-confidence ndizo zinaletaga magonjwa ya moyo. Muwe makini sana wanaocheza kule uwanjani ni akina mane, mo, firmino, milner, anderson, keitaHizo mechi liver atazoea points 12 za bure! Hata hao Everton juzi nimeona mpira wao wa kawaida sana tatzo foward zenu zilikuwa zinachezea nafasi nyingi sana kule mbele
Points zetu 12 hizoUsisahau hujacheza na Everton, Watford, Wolves na hata Bornamouth
Points zetu 12 hizo
Mechi ngumu iliyobaki ni na Man U sababu sisi ni wapinzani wa jadi!
Hao sijui akina Wolves napiga nyingi tu
Nani sasa hapa hayaogopi majogoo?
Hizi over-confidence ndizo zinaletaga magonjwa ya moyo. Muwe makini sana wanaocheza kule uwanjani ni akina mane, mo, firmino, milner, anderson, keita