Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,143
Sahau hlo bro hao ktoweo fc(majogoo) hawawez chukua upigwa wowote ule..Naona mmemshikia Man City nafasi yake,nyie mtakuwa wa tatu na kila mtu anajua hilo
Majogoo yanachukua ubingwa saa 2 asubuhi
Naona mmemshikia Man City nafasi yake,nyie mtakuwa wa tatu na kila mtu anajua hilo
Majogoo yanachukua ubingwa saa 2 asubuhi
Hahahaha aHahahah....
Kwa vichekesho vingine kama hivi tuma neno LIVERPOOL kwenda namba 1990.
Naona mmemshikia Man City nafasi yake,nyie mtakuwa wa tatu na kila mtu anajua hilo
Majogoo yanachukua ubingwa saa 2 asubuhi
Ukweli ni kwamba ukifuatilia mpira kwenye streaming media halafu mkashinda utabaki tu na picha nzuri kwamba mlicheza vizuri ndio maana tulishinda, lakini kwa wale walioangalia live kwenye TV, Chelsea hawakucheza vizuri kama tunavyowajua. Na matatizo yalikuwa kwenye passing kuanzia kwa Andreas na karibu wote waliocheza walikuwa saa nyingine wakipoteza mipira na kupotezana kirahisi. Pia ile Chelsea yenye kucreate chances zilizoenda shule sikuona juzi. Hazard kashindwa penetrate, Barkley alidoda, Psi za 74% zilikuwa ni zile za kubaki na mpira kwa sababu BATE nao hawakutaka kucheza, walikuwa wakisubiri counter attack tu. Zappacosta hawakuwa akitoa krossi nzuri kama anavyofanya kwenye michezo mingine. Mawasiliano yalikuwa duni uwanjani. Sio kama hawakucheza vizuri sana lakini tunacompoare na Chelsea tunayoijua ya Sarriball. Tushukuru tu Emerson alishusha cross nzuri (naona Giroud ameisifia hiyo cross) na tukapata goli kupitia kwa Giroudpitia page ya sarri uone alivyohudhunika na mpira wa jan mahaba yasizid uwezo kk wote n BLUES FAN tunaipenda club
Naona mmemshikia Man City nafasi yake,nyie mtakuwa wa tatu na kila mtu anajua hilo
Majogoo yanachukua ubingwa saa 2 asubuhi
This is our year....in malafyale voice...!!Naona mmemshikia Man City nafasi yake,nyie mtakuwa wa tatu na kila mtu anajua hilo
Majogoo yanachukua ubingwa saa 2 asubuhi
Ukweli ni kwamba ukifuatilia mpira kwenye streaming media halafu mkashinda utabaki tu na picha nzuri kwamba mlicheza vizuri ndio maana tulishinda, lakini kwa wale walioangalia live kwenye TV, Chelsea hawakucheza vizuri kama tunavyowajua. Na matatizo yalikuwa kwenye passing kuanzia kwa Andreas na karibu wote waliocheza walikuwa saa nyingine wakipoteza mipira na kupotezana kirahisi. Pia ile Chelsea yenye kucreate chances zilizoenda shule sikuona juzi. Hazard kashindwa penetrate, Barkley alidoda, Psi za 74% zilikuwa ni zile za kubaki na mpira kwa sababu BATE nao hawakutaka kucheza, walikuwa wakisubiri counter attack tu. Zappacosta hawakuwa akitoa krossi nzuri kama anavyofanya kwenye michezo mingine. Mawasiliano yalikuwa duni uwanjani. Sio kama hawakucheza vizuri sana lakini tunacompoare na Chelsea tunayoijua ya Sarriball. Tushukuru tu Emerson alishusha cross nzuri (naona Giroud ameisifia hiyo cross) na tukapata goli kupitia kwa Giroud
[emoji838]Chelsea wamepanga kuwapeleka mashabiki wao Auschwitz kupata elimu ya namna ya kushangilia katika uwanja wao wa Stamford Bridge bila kuleta vurugu ili kupunguza vifungo ambavyo timu hiyo inakumbana navyo. (Sun)[emoji170]
...??Na hawa wa humu wanapelekwa wapi kujifunza?
Na hawa wa huku wanaong'oa viti tuwapeleke wapi mkuu...[emoji838]Chelsea wamepanga kuwapeleka mashabiki wao Auschwitz kupata elimu ya namna ya kushangilia katika uwanja wao wa Stamford Bridge bila kuleta vurugu ili kupunguza vifungo ambavyo timu hiyo inakumbana navyo. (Sun)[emoji170]
Mimi ningehuzunika kama mpira wote ule tulioupiga tungemaliza kwa sarepitia page ya sarri uone alivyohudhunika na mpira wa jan mahaba yasizid uwezo kk wote n BLUES FAN tunaipenda club
[emoji3] [emoji3] we jamaa wewe sisi tunawaza kushika usukani wewe unasema tumemshikia sijui naniNaona mmemshikia Man City nafasi yake,nyie mtakuwa wa tatu na kila mtu anajua hilo
Majogoo yanachukua ubingwa saa 2 asubuhi
Kesho na Everton kikosi ni kama ifuatavyoUkweli ni kwamba ukifuatilia mpira kwenye streaming media halafu mkashinda utabaki tu na picha nzuri kwamba mlicheza vizuri ndio maana tulishinda, lakini kwa wale walioangalia live kwenye TV, Chelsea hawakucheza vizuri kama tunavyowajua. Na matatizo yalikuwa kwenye passing kuanzia kwa Andreas na karibu wote waliocheza walikuwa saa nyingine wakipoteza mipira na kupotezana kirahisi. Pia ile Chelsea yenye kucreate chances zilizoenda shule sikuona juzi. Hazard kashindwa penetrate, Barkley alidoda, Psi za 74% zilikuwa ni zile za kubaki na mpira kwa sababu BATE nao hawakutaka kucheza, walikuwa wakisubiri counter attack tu. Zappacosta hawakuwa akitoa krossi nzuri kama anavyofanya kwenye michezo mingine. Mawasiliano yalikuwa duni uwanjani. Sio kama hawakucheza vizuri sana lakini tunacompoare na Chelsea tunayoijua ya Sarriball. Tushukuru tu Emerson alishusha cross nzuri (naona Giroud ameisifia hiyo cross) na tukapata goli kupitia kwa Giroud