Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Morata OK?????????????
 
Ila wewe tu Liverpool ndio ungekuwa na uwezo wa kumfunga ila ukakutana nawababe wakakufunga
Basi jua hata city anafungwa tu tena kiurahis sana
Hahahahahahahaha Manchester city mpaka sasa yupo Fainali ya Carabao cup anayetafutwa ni nani atacheza nae tu sasa kazi kwenu mchanguane nani atacheza Fainali nae
Final ya Carabao cup ni
Manchester city vs ??????????
 
Hahahahahahahaha Manchester city mpaka sasa yupo Fainali ya Carabao cup anayetafutwa ni nani atacheza nae tu sasa kazi kwenu mchanguane nani atacheza Fainali nae
Final ya Carabao cup ni
Manchester city vs ??????????
Kwani wewe ni Liverpool au Man city mkuu
Hivi aliyeitoa Liverpool Carabao Cup ni nani
 
Kama Derby County unashinda 3 -2 usishangae hata hao Bournemouth wakakupeleka malkiti
Nimeamini kuwa ule msemo usemao nyani haoni kundule ndiyo hii.

Mara hii umesahau kilichokukuta anfield. Kudadeki punguza mahaba mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…