Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Dili la Conte Antonio kwenda Madrid limekuwa cancelled ..timu atapewa kocha msaidiz kwa muda.Lakini sub ya Dembele ndio iliyommaliza kabisa na ubovu wa defence ikiliongozwa na Ramos
Antonio Conte ndio anatajwa kwenda Bernabeu wiki hii tutapata majibu ya mazungumzo yanayoendela. Na kwa kichapo cha jana cha 5-1 huyu kocha wa sasa hatasurvive
Halijawa cancelled, bado hawajakubaliana terms za contract. Conte anataka usjaili wa wachezaji wawili, Fullback mmoja na striker kama Messi au Hazard ili aweze kuimpliment formation yake ya 3-5-2, Kwa sasa Real Madrid ina fullbacks wawili tu wenye kufikia standard ya Conte na hawana striker anayeweza kuwaongoza wenzake kwenye frontline. Solari kawekwa kwa muda tu huku makubaliano yakiendelea na kuna kila dalili kuwa Conte ataajiriwa kwenye dirisha dogo la usajili January mwakani ili waweze kusajili wachezaji anaowataka ConteDili la Conte Antonio kwenda Madrid limekuwa cancelled ..timu atapewa kocha msaidiz kwa muda.
Kocha anayepewa nafas kwa sasa Pochettino na mwingine flan iv..
Sisi huwa tunashindwa kuwalinda vijana wetu sijui kwa nnDo stats lie?
Yes, they do, but here are the Top 10 players so far in Europe’s top 5 leagues...
1. Messi
2. Mbappé
3. Neymar
4. E. Hazard
5. Suso
6. Ronaldo
7. Sterling
8. D. Silva
9. N. Pepe
10. T. Hazard
(Via @WhoScored)
Do stats lie?
Yes, they do, but here are the Top 10 players so far in Europe’s top 5 leagues...
1. Messi
2. Mbappé
3. Neymar
4. E. Hazard
5. Suso
6. Ronaldo
7. Sterling
8. D. Silva
9. N. Pepe
10. T. Hazard
(Via @WhoScored)
Well said mkuu. Hata Sterling sidhani kama anadeserve kuekwa kwenye top 10Stats don't lie lakini Hii list ya top 10 inaweza ikawa ni sahihi kwa Rant boys kwasababu wao akishakuwemo Hazard tu Washaridhika na pumba yoyote itakayoandikwa.
Hapo Ni 5 tu ndiyo kwa 100% wanapaswa kuwepo.
1) Messi
2) Rinaldo
3) Neymar
4) Mbappe
5) Hazard
Hao Kina Suso naona wamebandikwa tu na asitejua Mpira.
Suso hawezi kuwa ahead of Pogba and Coutinho.
Si wakamchukue Samatta wa mil8 na anafunga kama CR7?Chelsea are reportedly interested in signing former Liverpool winger Suso.
The Spain international has a release clause of around £34m in his current contract at the San Siro.
Nimesoma taarifa za leo Conte kafunga ukurasa kwa kukataa ofa ya Florentino Perez ataendelea kupumzika mpaka msimu wa kiangazi ndipo atafute ajiraHalijawa cancelled, bado hawajakubaliana terms za contract. Conte anataka usjaili wa wachezaji wawili, Fullback mmoja na striker kama Messi au Hazard ili aweze kuimpliment formation yake ya 3-5-2, Kwa sasa Real Madrid ina fullbacks wawili tu wenye kufikia standard ya Conte na hawana striker anayeweza kuwaongoza wenzake kwenye frontline. Solari kawekwa kwa muda tu huku makubaliano yakiendelea na kuna kila dalili kuwa Conte ataajiriwa kwenye dirisha dogo la usajili January mwakani ili waweze kusajili wachezaji anaowataka Conte