Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Chelsea received compensation how?CONFIRMED: Italian coach Antonio Conte is no longer linked to #Chelsea, the club has received the € 9M in compensation. #CFC
Makombe ......... Chelsea ina miaka 112 lakini ina makombe 26 tu wakati Giggs ana miaka 44 ana Makombe 35 hahahahahahahahahaHayo magoli ya Salah yameleta kombe gani kwa Liverpool?
Kilichonikera ni kuamini kwako kuwa michezo na siasa ni mbalimbaliHaha, nimetoa mawazo yangu kama wewe mkuu, hakuna mahali nimelazimisha mtu kuamini ninachosema, you are just feeling insecure by my presence, Jamii forums ni huru kwa kila mtu na naruhusiwa kuchangia Jukwaa lolote lile vile ninavyojisikia tu. Hakuna member ambaye ni mmiliki wa Thread ama jukwaa lolote, wote tupo sawa. Kwahiyo kama comment yangu imekukera sana. ungeachana nayo tu.
Kama unafunga magoli huleti makombe maana yake nini.?Makombe ......... Chelsea ina miaka 112 lakini ina makombe 26 tu wakati Giggs ana miaka 44 ana Makombe 35 hahahahahahahahaha
Turudi kwa Salah na Hazard..... Magoli ni uwezo binafsi wa mchezaji Makombe ni Mafanikio ya timu.
Kwa hiyo unamaanisha nini sasa kwamba sallah ni bora kuliko hazard si Ndio[emoji188]View attachment 911864
Hivi nikuulize katika haya magoli yake 50 ndani ya match 65 Liverpool imetwaa mataji mangapi mkuu[emoji188]View attachment 911864
Mmoja ametwaa makombe na mwingine hata kuliona tu hajawahiEden kimario picha inajieleza ina kuhusu mtafute na MkuuJasho la kuku hii picha inawahitaji
Mkuu muondoe messi hapo tafadhali.Kwa hiyo unamaanisha nini sasa kwamba sallah ni bora kuliko hazard si Ndio
Kama ni msimu uliopita nakubaliana na wewe lakini kuanzia kwenye world Cup Mpaka msimu wa league mbalimbali unaanza sikubaliani na wewe kwa sababu Mpaka ninapoandika haya mawazo yangu hata Ronaldo na Messi bado hawamfikia hazard msimu huu kwa ubora
Mesi alifanya nini kombe la dunia?Mkuu muondoe messi hapo tafadhali.