Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Hayo MAJOGOO kila msimu yanashindwa kudaka mitetea (makombe) sasa kwanini niyaogope wakati hayana uwezo wowote..?Team inapoints 23 sawa na anayeongoza ligi ndiyo imejifia?
Usiajli kule huwa sikubali wachezaji wetu waitwe majina yasiyofaa,kama nyie haoa mnakubali akina Willian kukejeliwa hayo ni yenu!
Nampiga Red Brigade,atakuja Cardif Jmosi nampiga,naenda kwa Arsenal nampiga,atakuja Fulham nampiga kisha Watford!
Nani sasa hapa HAYAOGOPI MAJOGOO?