chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,420
- 4,452
Sijui siku akipata injury hazard ushindi tutapataje maana the boy is every thing for chelseaWakuu wakati wa mechi sikuwa na mtandao kabisa nikashindwa kusherehekea ushindi pamoja nanyi na kubadilishana mambo mbalimbali.
Kwa upande wangu nimeridhishwa sana na kiwango cha Barkley. Kuhusu kipa sina cha kusema sidhani kama kuna mtu ana mashaka naye tena. 3 point + clean sheet.
Hollaaa Blues
Nimeangalia stats zake anajua sana. Sema tayari vigogo kama Bayern na Chelsea vishaanza kumtolea macho.Krzysztof Piatek: Took just six minutes to score his 13th goal in 8 appearances since signing for Genoa!
vs Lecce [emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️
vs Empoli [emoji460]️
vs Sassuolo [emoji460]️[emoji460]️
vs Bologna [emoji460]️
vs Lazio [emoji460]️
vs Chievo [emoji460]️
vs Frosinone [emoji460]️[emoji460]️
vs Parma [emoji460]️ and counting..
Huyu dogo ni mzur
Na zote zingekuwa assist from hazardMorata alitakiwa awe na goli mbili leo.
Hao Man Utd wanatamani international break isiishe...
Sema Barkley hajatuangusha. Anakuja na motoNilitamani Kovacic na Pedro wangeanza.
Tutashinda tu usiogope mbona mechi mbili za mwanzo alikuwa hachezi na tulishinda ushindi mzuri tu!!Sijui siku akipata injury hazard ushindi tutapataje maana the boy is every thing for chelsea
Sema Barkley hajatuangusha. Anakuja na moto
Sema Barkley hajatuangusha. Anakuja na moto
Barkley anaendelea kuiva taratibu.
Timu kwa sasa zinakamia mno tofauti na mechi zile za mwanzo hivyo ukikosa mchezaji mwenye creativity kama hazard ni ngumu kupata matokeoTutashinda tu usiogope mbona mechi mbili za mwanzo alikuwa hachezi na tulishinda ushindi mzuri tu!!
Namuona Lampard ajaye.
Eeeer bado..na kwa umri wake I think kachelewa.
Hizi sifa zitaisha siku moja Kepa akitoa boko (intercepted pass) ikasababisha tufungwe goli!Kwa hii sarriball sishangai kepa kuwa na pasi nyingi maana mpira unaanzia kwake unarudi kwake
I don't think Keppa is as arrogant as Allison Becker.Hizi sifa zitaisha siku moja Kepa akitoa boko (intercepted pass) ikasababisha tufungwe goli!
Utapatikana tu kwa kuforceSijui siku akipata injury hazard ushindi tutapataje maana the boy is every thing for chelsea
Kepa kaonesha uhai aiseee. Leo kidogo awe man of the matchWakuu wakati wa mechi sikuwa na mtandao kabisa nikashindwa kusherehekea ushindi pamoja nanyi na kubadilishana mambo mbalimbali.
Kwa upande wangu nimeridhishwa sana na kiwango cha Barkley. Kuhusu kipa sina cha kusema sidhani kama kuna mtu ana mashaka naye tena. 3 point + clean sheet.
Hollaaa Blues
Kutoa boko hapangi mtu inatokea tu bila kutarajia so ikitokea ni sehemu ya mchezo mkuu ila kepa kwa save ni moto sanaHizi sifa zitaisha siku moja Kepa akitoa boko (intercepted pass) ikasababisha tufungwe goli!
Ndiyo mkuuHivi hiz intaneshno breki, ndo zile za Uefa national league?
Anaweza kuwa mkuu lain hatafika level za Lampard...Namuona Lampard ajaye.