Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,061
- 27,474
Ni kazi sana kumpa mchezaji ambaye ndio msimu wake wa kwanza na wakati wapo wachezaji downtown kitambo. Anatafutwa mchezaji ambaye ataweza kuongea na marefa vizuri na ambaye ana influence in and out of dressing room.Me naona Jorginho apewe nikimuangalia kwny video nying dressing room. Ni mgeni na mcheshi na hata uwanjani ni kama kiongoz
Azpil apewe tyuNi kazi sana kumpa mchezaji ambaye ndio msimu wake wa kwanza na wakati wapo wachezaji downtown kitambo. Anatafutwa mchezaji ambaye ataweza kuongea na marefa vizuri na ambaye ana influence in and out of dressing room.
Kwangu naona Azpi bado ana nafasi. Then vice captain apewe Hazard.
Itakua ni bonge la mistake. Kwanza inabidi hawa wakongwe waanze kutoka wawaachie vijana. Luiz atoke aingie Christensen, Fab atoke tumlete Rabiot, Giroud atoke tumpandishe Tammy au tufanye usajili.Tunaweza kushangaa captain ni Luiz. Maana sarri anampenda
Kuna "connection" flani kati ya Sarri na Luiz ,anaweza pia akapewa yeyeTunaweza kushangaa captain ni Luiz. Maana sarri anampenda
Tutaandamaa humuTunaweza kushangaa captain ni Luiz. Maana sarri anampenda
RudigerAzpilicueta au Hazard wanafaa sn kua ma Captain Kwa sasa. Yoyote atakaepewa sawa tu.
Eti God forbid, Mara Captain Giroud mzee wa kismatRudiger
Luiz
Morata (God forbid)
Hazard hafai, mguu mmoja ndani mwingine njeNaona akipewa Hazard.
Azpillicueta au HazardSarri anasema ameshafanya maamuzi ya nani atakuwa captain wa timu ila hatotangaza mpaka atakapokaa kikao na wachezaji .
Je unafikiri nani anafaa kuwa captain?
Kwangu naona Azpilicueta aendelee tu
Hajaijua culture ya Chelsea. Azp au HazardMe naona Jorginho apewe nikimuangalia kwny video nying dressing room. Ni mgeni na mcheshi na hata uwanjani ni kama kiongoz
Luiz anaweza kufikiriwa ila nyuma ya Azp na HazardTunaweza kushangaa captain ni Luiz. Maana sarri anampenda