Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
UEFA champions 2011/2012 HERO!
Kwanini mkuu Jembe atokee benchiMimi naunga mkono hazard aendelee kutokea bench tu
E&K
Huyu anatuacha muda sio mrefu lazima mwalimu sarri aangalie nani anaweza kucheza na wilian
Mawazo yake sidhani kama bado hapo chelsea ye anawaza kwenda madrid tu japo nimesikia anajiandaa kusain mkataba mpya team ikifuzu UEFA