Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamani ushindi wa leo ni muhimu sana ..inatakiwa tushinde ili kujiweka katika nafasi muhimu zaidi ya kuwania ubingwa.
 
Tunatarajia kupeleka msiba kwa jirani zetu ..muda ci murefu kutakuwa na kilio kule[emoji3] [emoji3]
 
Rudiger na Luiz naona hawaelewani kabisa wanaacha watu nyuma kila mara. Krosi za chini zote wanashindwa kuzifanyia kazi zinafika kabisa kwa mlengwa aisee
 
Dakika ya 56:

Shots on Target: Chelsea 4 - 5 Arsenal

Shots off Target: Chelsea 5 - 5 Arsenal

Possession: Chelsea 49 - 51 Arsenal

Corner Kick: Chelsea 1 - 0 Arsenal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…