Jitahidi kumuelewa tu usimnange. Hili tatizo naliona linazidi kukua siku hadi siku hapa Tanzania aisee.Haya maneno nimeshindwa Kuyaona Katika Kamusi ili nijue maana yake:
Napori
Mbraziri
Allan
Itaria
Joginyo
Bora Nikuache tu uendelee Manake Mpira unaupenda Lakini Wewe Haukupendi.
ulikuja hapa na kusema mm muongo joginho anacheza no 6 nimekusaidia mtu aliyecheza nae pale Napoli sasa unakuja na mambo ya kamusi tatizo lako wewe ushabiki mbele kuliko kujua mpraHaya maneno nimeshindwa Kuyaona Katika Kamusi ili nijue maana yake:
Napori
Mbraziri
Allan
Itaria
Joginyo
Bora Nikuache tu uendelee Manake Mpira unaupenda Lakini Wewe Haukupendi.
Kuna yule msanii wa Bongo fleva anayefanya PHD yake sasa hivi pia huwa anachanganya sana hizo R& L na S &Th, yaani kuna tatizo kubwaaJitahidi kumuelewa tu usimnange. Hili tatizo naliona linazidi kukua siku hadi siku hapa Tanzania aisee.
Msanii wa bongo flavor anayefanya phd? Sijamjua...but yeah ni tatizo kubwa kwa sasa. Ebzi hizo naishi Mbagala, majirani zangu walikuwa walimu wa sekondari, na wao walikuwa wanaongea na kuandika hivyo...sipati picha wanafunzi wao.Kuna yule msanii wa Bongo fleva anayefanya PHD yake sasa hivi pia huwa anachanganya sana hizo R& L na S &Th, yaani kuna tatizo kubwaa
Msanii ni Niki wa Pili, najua Ngolo na Jorginho lazima watakuwa first eleven maana yake anatakiwa mtu wa tatu ambaye ni attacking zaidi, sio Bakayoko , fabregas ni mzuri ila he is slow akiwa na mpira, sijamuona Barkely hapa pre season ila naamini hiyo spot ni yake labda azingue mwenyewe.. tusimsahau pia Loftus, ameimprove sana...Msanii wa bongo flavor anayefanya phd? Sijamjua...but yeah ni tatizo kubwa kwa sasa. Ebzi hizo naishi Mbagala, majirani zangu walikuwa walimu wa sekondari, na wao walikuwa wanaongea na kuandika hivyo...sipati picha wanafunzi wao.
Anyway, nawaza pale kati...Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante.
Walau tunajua kocha anapendelea 4-3-3
Sasa hiyo mtu 3 kati itakayo kuwa perfect ni ipi???? The million dollar question...
Kwa hizi mechi za pre season wamecheza Jorginho, Barkley na Fabregas.
Second half ikawa Jorginho, Bakayoko na Fabregas kama sikosei ambapo Bakayoko akatoa pasi mbovu ndo Milan wakasawazisha.
Ayaaaa umeona sasa..kuna na Loftus Cheek. Dah kazi ipo.Msanii ni Niki wa Pili, najua Ngolo na Jorginho lazima watakuwa first eleven maana yake anatakiwa mtu wa tatu ambaye ni attacking zaidi, sio Bakayoko , fabregas ni mzuri ila he is slow akiwa na mpira, sijamuona Barkely hapa pre season ila naamini hiyo spot ni yake labda azingue mwenyewe.. tusimsahau pia Loftus, ameimprove sana...
Bado kuna Drinkwater , kuna uwezekano Chelsea ndio timu yenye viungo bora zaidi wakabaji kwa Epl,.. Tukiachana na hili kuna kimeo cha namba 9, unafikiri Morata will turn up next season au ndo itakuwa maji kupwa maji kujaa kama last seasonAyaaaa umeona sasa..kuna na Loftus Cheek. Dah kazi ipo.
Fabregas atang'aa sana kama Kante na Jorginho watacheza pamoja kwa uelewano mzuri...maana watampunguzia sana kazi ya kukaba. Ross Barkley atategemea sana uwezo wa Fabregas msimu huu. Ila kama Barkley ndiye mbadala wa Fabregas basi tunahitaji kutafuta mtu mwingine zaidi. Loftus Cheek labda? Sijui...ila mtu callibre ya KDB hivi ndo aje kumrithi Fab.
Hao Barkley na Loftus wataingia kuwapumzisha Kante na Jorginho kwa mtazamo wangu.
Huyu Nikki sio mtu wa Arusha kweli? Sijawahi kusikia watu wa maeneo hayo wakiwa na tatizo hili. Kama ni kweli basi hali inazidi kuwa mbaya...Msanii ni Niki wa Pili, najua Ngolo na Jorginho lazima watakuwa first eleven maana yake anatakiwa mtu wa tatu ambaye ni attacking zaidi, sio Bakayoko , fabregas ni mzuri ila he is slow akiwa na mpira, sijamuona Barkely hapa pre season ila naamini hiyo spot ni yake labda azingue mwenyewe.. tusimsahau pia Loftus, ameimprove sana...
The future is now for him.Yaa hata huyu dogo odoi naona akipewa muda na atakua mzuri tu for the furure
Bado kuna Drinkwater , kuna uwezekano Chelsea ndio timu yenye viungo bora zaidi wakabaji kwa Epl,.. Tukiachana na hili kuna kimeo cha namba 9, unafikiri Morata will turn up next season au ndo itakuwa maji kupwa maji kujaa kama last season
Msanii wa bongo flavor anayefanya phd? Sijamjua...but yeah ni tatizo kubwa kwa sasa. Ebzi hizo naishi Mbagala, majirani zangu walikuwa walimu wa sekondari, na wao walikuwa wanaongea na kuandika hivyo...sipati picha wanafunzi wao.
Anyway, nawaza pale kati...Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante.
Walau tunajua kocha anapendelea 4-3-3
Sasa hiyo mtu 3 kati itakayo kuwa perfect ni ipi???? The million dollar question...
Kwa hizi mechi za pre season wamecheza Jorginho, Barkley na Fabregas.
Second half ikawa Jorginho, Bakayoko na Fabregas kama sikosei ambapo Bakayoko akatoa pasi mbovu ndo Milan wakasawazisha.
Kwa midfielders waliopo, naona iko hivi...Kati ya Hawa Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante ni Kwamba!
Kwa Mfumo Wa 4-3-3 atakapocheza Joginho na Kante basi Technically Bakayoko haitowezekana Kucheza, Ni Lazima wacheze na Fabi au Bark.
Yani Jogi-Kante-Fabi
Au Jogi-Kante-Bark
Bakayoko Atacheza pale Mmoja wapo Kati ya Kante au Joginho atakapokuwa Yupo Benchi.
Yani Baka-Kante-Fabi/Bark
Au Baka-Jogi-Fabi/Bark
Mbele ya Hao Watatu Patakuwa na Willian-Giroud-Hazard.
Kwahiyo Mfumo Huo utamlazimisha Kocha aingie Sokoni atafute Central Attacking Midfielder Kwani Fabi au Bark kutokana na Pace Yao Ya Ushambuliaji Wataupoza Huo Mfumo Cuz Anayesimama Hapo Katika Hao Watatu anakuwa ni Namba 10 ambaye anakaa Centre na Kushambulia golini, ni Lazima awe na Pace Kama alivyokuwa Coutinho.
Iwe Jogi-Kante-New CAM
Na mbele yao ni;Kati ya Hawa Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante ni Kwamba!
Kwa Mfumo Wa 4-3-3 atakapocheza Joginho na Kante basi Technically Bakayoko haitowezekana Kucheza, Ni Lazima wacheze na Fabi au Bark.
Yani Jogi-Kante-Fabi
Au Jogi-Kante-Bark
Bakayoko Atacheza pale Mmoja wapo Kati ya Kante au Joginho atakapokuwa Yupo Benchi.
Yani Baka-Kante-Fabi/Bark
Au Baka-Jogi-Fabi/Bark
Mbele ya Hao Watatu Patakuwa na Willian-Giroud-Hazard.
Kwahiyo Mfumo Huo utamlazimisha Kocha aingie Sokoni atafute Central Attacking Midfielder Kwani Fabi au Bark kutokana na Pace Yao Ya Ushambuliaji Wataupoza Huo Mfumo Cuz Anayesimama Hapo Katika Hao Watatu anakuwa ni Namba 10 ambaye anakaa Centre na Kushambulia golini, ni Lazima awe na Pace Kama alivyokuwa Coutinho.
Iwe Jogi-Kante-New CAM
Kuna huyo wa Inter Milan anatajwa nafikiri ndio ndio atafit kwenye hiyo position ya barkley/fabKati ya Hawa Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante ni Kwamba!
Kwa Mfumo Wa 4-3-3 atakapocheza Joginho na Kante basi Technically Bakayoko haitowezekana Kucheza, Ni Lazima wacheze na Fabi au Bark.
Yani Jogi-Kante-Fabi
Au Jogi-Kante-Bark
Bakayoko Atacheza pale Mmoja wapo Kati ya Kante au Joginho atakapokuwa Yupo Benchi.
Yani Baka-Kante-Fabi/Bark
Au Baka-Jogi-Fabi/Bark
Mbele ya Hao Watatu Patakuwa na Willian-Giroud-Hazard.
Kwahiyo Mfumo Huo utamlazimisha Kocha aingie Sokoni atafute Central Attacking Midfielder Kwani Fabi au Bark kutokana na Pace Yao Ya Ushambuliaji Wataupoza Huo Mfumo Cuz Anayesimama Hapo Katika Hao Watatu anakuwa ni Namba 10 ambaye anakaa Centre na Kushambulia golini, ni Lazima awe na Pace Kama alivyokuwa Coutinho.
Iwe Jogi-Kante-New CAM
Kuna huyo wa Inter Milan anatajwa nafikiri ndio ndio atafit kwenye hiyo position ya barkley/fab
Ila mimi wasiwasi wangu upo hapo kwenye namba 9 giroud na Morata sio wakuwaamini sana