Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Sawa mkuu. Ila huwa nakukubali kwa utabiri wako. Let's wait and see. Mpira ni burudaniMwakani kucheza YUROPA kupo pale pale!
Namfunga Brighton kwangu 1-0 tu inatosha!
Brighton hawezi mzuia Liverpool asicheze UCL mwakani
Wewe utacheza Yuropa labda huko ndiyo utafika mbali
Huku UCL unatupa aibu tu!
Inaisha kwa sare hiyo matchMwakani kucheza YUROPA kupo pale pale!
Namfunga Brighton kwangu 1-0 tu inatosha!
Brighton hawezi mzuia Liverpool asicheze UCL mwakani
Wewe utacheza Yuropa labda huko ndiyo utafika mbali
Huku UCL unatupa aibu tu!
Inaisha kwa sare hiyo match
Europa inakuhusu
Mafi ya bata fc mmepgwa cha nguruwe poleeJumapili ndiyo NAKUPELEKA rasmi Yuropa mwakani ukacheze na Mavi ya Bata FC ya Lithunia,uwanja wa mabati watazamaji 3,000!
Nakupiga hapo hapo kwako sababu Liverpool sasa ndiyo team bora Ulaya,huwezi wazuia!
Nani sasa hayaogopi Majogoo?
Bado mmenuna kwa mafanikio yetu?
Yuropa n yenu mwakaniMafi ya bata fc mmepgwa cha nguruwe polee
4-0 hadi halftimeInaisha kwa sare hiyo match
Europa inakuhusu
Hiyo hata Conte anajuaLiverpool 4 - 0 Brighton & Holve Albion
Kama Unabisha bisha lakini Liverpool Katika Msimu Huu Haijapoteza Mchezo Hata Mmoja Wa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Katika Uwanja Wake Wa Njumbani Wa Anfield.
Maneno yako yatakutokea puani4-0 hadi halftime
Tunatoa frontmen wote dakika ya 75!
Brighton hawezi mzuia Liverpool akicharuka!
Kajipangeni huko Yuropa
Mwaka huu hamna team!
Unauza Matic unaleta Bakayoko?
Unauza Costa unaleta Morata?
No brainer at all
Maneno yako yatakutokea puani
Ukweli ni kwamba chelsea anatinga top 4 na mmoja wapo kati ya liverpool na tottenham lazima adondoke
Hisia zangu zinasema ni Tottenham ila ningependa iwe liverpool wazee wa kufeli dk za mwisho
Kile Brighton walichoifanyia man u watakirudia hapo AnfildKufeli Kwetu Katika Michezo Yetu Miwili iliyopita (vs WBA & STOKE) Ni Kwasababu Ya Mechi 2 za Roma.
Lakini Mechi Yetu Ya Mwisho hatuna Excuse! Subiri ushuhudie tutakacho Kifanya..!
Tafadhali mkuu usitubebeshe lawama, wewe malizana naye huko huko.Sisi Tunajua Wazi Kuwa Kilichotuathiri Katika Mechi Zetu NNE Za Mwisho Hizi Za EPL Ni Hile Champion League (vs Roma) Kwasababu Timu Yetu Haina Depth Kutokana Na injuries Za Wachezaji Wetu Muhimu.
Lakini Narudia Tena Game Yetu Ya Mwisho Hatuko Kwenye CL Kwahiyo Musitegemee Uchovu Wowote Kwa Wachezaji Wetu! Hizo False Hope Zenu Mutazizika Wenyewe.
Najua Ni Washabiki Wa Manure Diyo Wanaowadecieve Kuwa Mutacheza Nyie CL next Season na si Liverpool! Lakini Wanafanyia Double Face Cuz Wao Ndiyo Waliowafunga Nyinyi Pale OT na Kuwanyima Points 3 muhimu.
Sasa Kama Walikuwa na Nia Ya Kuwapeleka CL wangeliwaachia Nyie zile Points 3.
Ukweli Usiofichika Ni Manure Ndiye anayewapeleka Nyinyi Europa.
pumbaAsante Sana [HASHTAG]#Conte[/HASHTAG] Kwa Kujihakikishia Kibarua Chako Kipo Salama na wala Hakigeuki Kama Cha Wenger.
na kichapo cha juzi kilikuwa kwasababu ya nni acha kulialiaKufeli Kwetu Katika Michezo Yetu Miwili iliyopita (vs WBA & STOKE) Ni Kwasababu Ya Mechi 2 za Roma.
Lakini Mechi Yetu Ya Mwisho hatuna Excuse! Subiri ushuhudie tutakacho Kifanya..!
na kichapo cha juzi kilikuwa kwasababu ya nni acha kulialia