Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Mbuzi akijua tu kun'gata uzi wa gitaa, basi atajiita mbabe wa gitaa, Liverpool ndio maana walistahili hata kushuka daraka kwa miaka hiyo 20 bila kombe. Nguvu zenu za soda zina mwisho wake, akiondoka MO tu kwishinei
Europa hiyo hiyo imekuwa ndo mashindano yako ya Ulaya kwa miaka zaidi ya 10 sasa na bado umekuwa unasindikizaMwakani mtacheza Yuropa na wenzenu Real Socieded ya Spain na Mangleabach ya Germany!
Kwenye mashindano haya ya wanaume mmeisha shindwa!
Week ijayo baada ya kumpiga Roma nakuja nakupiga hapo hapo kwako
Tangu PL ianzishwe 1992 (zaidi ya miaka 26), Liverpool hata hawajui ladha ya ubingwa
Liverpool bana, Old novel ya miaka ya 80 kwenda chini, hii ya sasa ni wasindikizaji tu
Europa hiyo hiyo imekuwa ndo mashindano yako ya Ulaya kwa miaka zaidi ya 10 sasa na bado umekuwa unasindikiza
haitabadili kitu, 26 yrs without the PL trophyTokea 1990 sijachukuwa PL lakini Kwenye ubao Wa #FA inasomeka Man United ana Makombe 20 akifuatiwa na Liverpool ana Makombe 18 ya League.
Najua utakataa Lakini Huo Ndiyo Ukweli ukitaka Usitake Liverpool ina Makombe 18 ya Ligi ambayo unahitaji Miaka 300 ili Kutafika.
Uengereza Kwa Hakuna Ligi Mpya iliyoanzishwa Mwaka 1992.. Ligi ipo Zaidi ya Miaka 100 iliyopita Bali ilibadilishwa Jina tu! Kwahiyo Mimi sijabeba Kombe tokea ilipobadilishwa Jina na sio ilipoanzishwa.
Ni sawa na CARLING kuitwa CARABAO .. Kwahiyo Carabao so Ligi Mpya Bali imebadilishwa Jina.
haitabadili kitu, 26 yrs without the PL trophy
huyu refa hata haipend' Man united so relax buddyMechi vs Manure usimuogope Michael Oliver! Ogopa Wanazi Hawa:
1) Craig Pawson
2) Mike Deen
3) Anthony Taylor
4) Lee mason
5) Martin Atkinson
Hao Wanazi lazima Wakulazishe in favour for Manure
Mwaka 1992 Liverpool mlikuwa na makombe 18 na Man U walikuwa na makombe 7 tu! Ila ndani ya miaka 20 I mean from 1993 mpaka 2013 wamejikusanyia makombe 13.Mara Ya Mwisho Kucheza CL ilikuwa Ni 2015 vuta Kumbukumbu Vizuri! Ni Miaka 2 tu Tokea Mara Ya Mwisho Kucheza Champion League!
Hiyo Miaka 10 iliyopita Ni kwamujibu Ya Hesabu za Brainless Wa Chelshit.
Halafu Washabiki Wa Chelshit Wote Ni Mental Disorder! Yani Man U, Spurs, Chelshit na Man City Wote Hawa Walibakwa Kwenye CL wakatolewa.
Liverpool ambaye Tayari Mguu Mmoja Yupo Finali Baada Ya Kumfunga Bingwa Wa Uengereza aliyekupiga Nje Ndani na Kumpiga Migoli 5 mbabe Wa Barcelona ambaye Ni Bingwa Wa Spain leo Hii umepata Ujasiri Wa Kumwita Msindikizaji???
Sasa Mbona Munaacha Yenu Munakaa Mbele ya Runinga na Kumwangalia Liverpool Msindikazaji Wakati Munazo Timu zenu Za Kuziangalia Ambazo Hazisindikizi Zinafanya Kweli??
Acheni Wivu Huo Ni Liverpool Pekee Ndiye Mwenye Uthubutu Barani Ulaya na Si Chelshit inayoshiriki Miaka 10 mfululizo (from 2001 - 2010) bila ya Kufanya la Maana.
Acha vurugu zako weweJumapili ndiyo NAKUPELEKA rasmi Yuropa mwakani ukacheze na Mavi ya Bata FC ya Lithunia,uwanja wa mabati watazamaji 3,000!
Nakupiga hapo hapo kwako sababu Liverpool sasa ndiyo team bora Ulaya,huwezi wazuia!
Nani sasa hayaogopi Majogoo?
Bado mmenuna kwa mafanikio yetu?
bila ya Kufanya la Maana ?????? duuuuh . . .hata kwenda fainali mwaka 2008 sio jambo la maana??? // / kweli ushabiki wakati mwingine ni upofuMara Ya Mwisho Kucheza CL ilikuwa Ni 2015 vuta Kumbukumbu Vizuri! Ni Miaka 2 tu Tokea Mara Ya Mwisho Kucheza Champion League!
Hiyo Miaka 10 iliyopita Ni kwamujibu Ya Hesabu za Brainless Wa Chelshit.
Halafu Washabiki Wa Chelshit Wote Ni Mental Disorder! Yani Man U, Spurs, Chelshit na Man City Wote Hawa Walibakwa Kwenye CL wakatolewa.
Liverpool ambaye Tayari Mguu Mmoja Yupo Finali Baada Ya Kumfunga Bingwa Wa Uengereza aliyekupiga Nje Ndani na Kumpiga Migoli 5 mbabe Wa Barcelona ambaye Ni Bingwa Wa Spain leo Hii umepata Ujasiri Wa Kumwita Msindikizaji???
Sasa Mbona Munaacha Yenu Munakaa Mbele ya Runinga na Kumwangalia Liverpool Msindikazaji Wakati Munazo Timu zenu Za Kuziangalia Ambazo Hazisindikizi Zinafanya Kweli??
Acheni Wivu Huo Ni Liverpool Pekee Ndiye Mwenye Uthubutu Barani Ulaya na Si Chelshit inayoshiriki Miaka 10 mfululizo (from 2001 - 2010) bila ya Kufanya la Maana.
tukimpata kocha mbovu huyu dogo atauzwa . . . . . . . . very sadLiverpool ‘join race for Chelsea star Kenedy as Newcastle look to make loan move permanent’ Liverpool ‘join race for Chelsea star Kenedy as Newcastle look to make loan move permanent’