Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #48,261
Hapa ndio napataga wakati mgumu kweli kumuelewa ConteChelsea team: Courtois, Azpilicueta, Cahill (c), Rudiger, Moses, Kante, Bakayoko, Emerson, Pedro, Morata, Giroud.
Subs: Caballero, Christensen, Zappacosta, Fabregas, Barkley, Willian, Hazard. View attachment 750273
Kwanini mkuu?? Hivi alonso ni majeruhi?? Au amepumzishwaHapa ndio napataga wakati mgumu kweli kumuelewa Conte
Nguvu imetunzwa kwa ajili ya FAHapa ndio napataga wakati mgumu kweli kumuelewa Conte
Amefungiwa mechi 3Kwanini mkuu?? Hivi alonso ni majeruhi?? Au amepumzishwa
Kwanza huo Mfumo mkuu, amemchezesha mbele Pedro, Morata na Giroud sidhani kama watakuwa na uelewano mzuri.Kwanini mkuu?? Hivi alonso ni majeruhi?? Au amepumzishwa
Duuh! Hata kama ndo hivyo Mkuu si kwa kikosi hiki. Ila ngoja tuone kwanzaNguvu imetunzwa kwa ajili ya FA
Kikosi chetu ni hicho mkuu, Hazard ukimchezesha mechi 2 ndani ya siku 2 atatinyangaDuuh! Hata kama ndo hivyo Mkuu si kwa kikosi hiki. Ila ngoja tuone kwanza
We will have a FA semi final match within 72 hours. So it is good for Hazard to restHazard subs¿
Mmempiga misumari kama TorresI watched Morata today , nafikiri tutaangalia naye world cup kwenye Tv majumbani, kile kiwango si cha kuitwa National team
Tulikuwa tunaji imarisha kwenye Europa arsenal wanatunyemeleaHivi lengo la Chelsea Kushinda Mechi Ya Jana Ni Nini?
kwenye kos la uhispania yuko vzr kinoma fatlia game za nyuma uone jns anavo perfm freshI watched Morata today , nafikiri tutaangalia naye world cup kwenye Tv majumbani, kile kiwango si cha kuitwa National team
Makocha wanaangalia current performance kwenye club ili kuchagua vikosi vya national teamkwenye kos la uhispania yuko vzr kinoma fatlia game za nyuma uone jns anavo perfm fresh
Hivi lengo la Liverpool kushinda mechi ile ya juzi dhidi ya Bournemouth ilikuwa ni nini vile?Hivi lengo la Chelsea Kushinda Mechi Ya Jana Ni Nini?