[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari hizi sio nzuri!
Kane Mnyama leo anacheza!
Nadhani kesho Son ndiyo atabariki safari yenu ya Yuropa mwakani
Lkn mwakani Yuropa mnaweza fika mbali,huku CL kidogo bado team yenu sio nzuri
Sina la kuandika mpaka siku ya J5 maana naona mlitumia nguvu nyingi kweli sijui kama mtakuwa salamaNjoo uandike tena Ngonjera zako
What a goal from Delle Alli......
Mule mule aiseeHabari hizi sio nzuri!
Kane Mnyama leo anacheza!
Nadhani kesho Son ndiyo atabariki safari yenu ya Yuropa mwakani
Lkn mwakani Yuropa mnaweza fika mbali,huku CL kidogo bado team yenu sio nzuri
Umeonaeeee...!Siyo bure yaani Mun utd chama langu limalize nafasi ya 4 toka ya 2.wewe utakuwa unachuki binafsi kutokana na kichapo.mzunguko huu liver,asenal wanakuja OT away mech kubwa moja ya man city.Utaumwa presha kwa roho yako mbaya..!
Bado Liverpool hawana consistency... kwa hiyo hawawezi kutisha sana.Form aliyokuwa nayo Liverpool sasa hivi ni unstopable. Hata angekukuta gulioni angekuchapa sembuse OT? Chelsea condition moja tu inaweza kuiondoa top 4! Nayo ni kufungwa na Man City j2
Ha ha ha ha ha ha haKigenge cha wahuni hakuna timu humu
Ha ha haHellow yuropa ligi my old friend
View attachment 731556