Mpira ni mchezo wa makosa na kosa unalolifanya mwenzio ndio anakuadhibu hapo hapo, Mess jana alikua bora sana.. 2 goals + One assist katika ushindi wa 3-0 alafu unauliza Mess kafanya nini kweli?
Kipa kafanya vibaya jana unasema afukuzwe game ya kwanza Christencen alifanya makosa nae kuna watu walisema apigwe bench, Game na City walisema kocha kazingua apigwe chini, sasa tutabaki na nani katika timu?
Mkuu hii comment yako si ya kimpira kabsaKweli mkuu kipa kachomesha sana jana yani hasa lile goli la kwanza dah.....mtu yupo ktk engo kabisa yeye anachanua miguu,chelsea ilicheza vizuri sana ila kipa miyeyusho.....nimekereka sana jana
Mkuu hujui alilo lifanya messii..?Kafanya nn Messi?
Messi kaokota tu bao zote mbili kwa upuuzi wa kipa wa Chelsea!
Chelsea walipambana sana hasa katikati lkn kipa kawaangusha sana mabao yote matatu
Chelsea ni team nzuri sana,fukuza kipa huyu mwenye ego jenga team
Acha mambo yako wewe yaani huyu bwege anakaa nyuma sana kwa yule kipa wa spurs,yaani 3 bora ni
1.de gea
2.hugo
3.ederson
Kumbe ya kinini sasa?Mkuu hii comment yako si ya kimpira kabsa
Mijitu ina mineno ya kero dahHuu utulivu wa washabiki wa Chelsea baada ya Tatu Mzuka, unaweza rudisha amani Syria, Congo, Somalia, Libya na Yemen
Unamshushia heshima hugo mkuu huyo jamaa wa chelsick hampati hata kwa dawaMkuu Mimi List Yangu Kwa Ubora Kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Ni hii!:
1) David De Gea
2) Thibaut Courtois
3) Hugo Lloris
4) Ederson Moraes
Kumdharau kipa wakat messi keshawafanya makipa wengi tu kwa style ile. HIV kabla messi hajaingia kwenye sita marking ya mabek Wa Chelsie walikua wap mda hyo..?Kumbe ya kinini sasa?
İna hamu??????!!!!!!Tetesi
Chelsea ina hamu ya kumsajili beki wa Juventus na Ghana Kwadwo Asamoah ,29, kwa uhamisho wa bure wakati kandarasi yake itakapokamilika mwisho wa msimu huu (Sun)
Duh.....uefa??????europa!!!!!!!!!!haya sawaHehehehee mwakan hata uefa hampo dadeki!! Mnaenda europa!!poleni kwa kipigo!!
Jamani jamaniiiiiiiiii dah!!!!!!!
Nimefurahia droo ya Liverpool vs Man City. Hii inaweza kuwa na advantage kwetu Chelsea.
Tar 31/3 Palace atakuwa nyumbani kumenyana na Liverpool. Lakini pia tar 3/4 Liverpool atakuwa na mechi kubwa dhidi ya Palace.
Hii ina maana gani?
Ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mkubwa Salah, Van Djik na keyplayer mwingine wakapumzishwa dhidi ya mechi ya Palace kwa ajili ya kukabili miamba isiyotikisika, Man City . Amini usiamini Liver ina first eleven nzuri ila nje ya hapo haina substitute. Hivyo kama watawapumzisha hao wachezaji itakuwa vigumu kuishinda Palace uwanja wao wa nyumbani. So matokeo ya Liver si zaidi ya droo kwenye hiyo mechi. Kama Liver ikidroo ina maana watakuwa wakitutangulia kwa point mbili tu na mkumbuke tuna mechi nao mwezi wa tano na watakuja Stanford bridge.
Chelsea ina kazi moja tu! Kushinda kila mechi iliyobaki. Otherwise tutakwenda kucheza yale mashindano ya Alhamisi maarufu kama Futuhi.
But let's be positive because there is a promising future for Chelsea.