Kununuliwa hela ndogo haimaanishi mchezaji ni mbovu mchezaji mzuri anajulikana mapema Barkley hawezi kufika level ya Lampard kama akiwa Everton alipata nafasi kubwaThere is no limit for Barkley to improve. Who knew Azpillicueta would be one of the best defenders in EPL? He was purchased only with 7million Euro.
It doesn't matter how he has matured but alikua nahitaji ile nafasi ili imsaidie kujiamini zaidi. Kuendelea kukaa palepale inamnyima nafasi kuaminiwa na kujiamini ye mwenyewe.Ni case tofauti Batshuayi amesha mature hakuna mtu wa kumpiga benchi hapo Chelsea ukizingatia Conte mechi nyingi anacheza bila striker tofauti na Pogba,KDB ilikuwa ngumu wao kupata namba mbele ya kina Lampard,Mata,Oscar,Scholes
Wa kupata uzoefu nimemuongelea Batman. Rudia maandishi xangu mkuu. Huyo Barkley bado hajakaa sawa. Jua kwamba sijakataa maneno yanguWewe wa kusemaga rose bakley atakuwa kama lampard nakuangaliaga tu kwa sasa angalia ulichopost hapo sasa et akapate udhoefu aiseee
Alipewa nafasi mara nyingi jinsi alivyokuwa anacheza unaona kabisa kuna kitu anacho sema anakosa kujiamini ye mwenyewe.The problem is one! He was not being given the time to play
Majeruhi yanamuharibia mchezaji yoyote.Hata ronaldo alinunuliwa kwa £18 bei yake unaigusa kaangalie statistic zake toka akiwa everton anapanda au anashuka?
Amini kwamba kila kitu kinawezekana. Hizi kauli hazifai kwa baadhi ya watu mliojikatia tamaa ya maisha. Mnamezeshwa kila kitu na nyie mnakubali tu.Kununuliwa hela ndogo haimaanishi mchezaji ni mbovu mchezaji mzuri anajulikana mapema Barkley hawezi kufika level ya Lampard kama akiwa Everton alipata nafasi kubwa
Hayo ndio yaliyotokea kwa kina Salah,KDB,PogbaIt doesn't matter how he has matured but alikua nahitaji ile nafasi ili imsaidie kujiamini zaidi. Kuendelea kukaa palepale inamnyima nafasi kuaminiwa na kujiamini ye mwenyewe.
Hata Magufuli anasema anajenga Tanzania ya viwanda lakini ukweli ni impossibleAmini kwamba kila kitu kinawezekana. Hizi kauli hazifai kwa baadhi ya watu mliojikatia tamaa ya maisha. Mnamezeshwa kila kitu na nyie mnakubali tu.
Ndiyo yaliyo tokeaHayo ndio yaliyotokea kwa kina Salah,KDB,Pogba
Jua kutofautisha wasukuma na wazunguHata Magufuli anasema anajenga Tanzania ya viwanda lakini ukweli ni impossible
Uliyesema Barkley atamzidi Lampard ni wewe,kama wewe ni mzungu sawaJua kutofautisha wasukuma na wazungu
Mkuu naona unaanza kupoteza ufahamu. Naomba niletee hiyo post hapa.Uliyesema Barkley atamzidi Lampard ni wewe,kama wewe ni mzungu sawa
Ronaldo gani wa everton mkuuHata ronaldo alinunuliwa kwa £18 bei yake unaigusa kaangalie statistic zake toka akiwa everton anapanda au anashuka?
Ndio wa evertonRonaldo gani wa everton mkuu
Upo serious au unataka tucheke tu!Ndio wa everton
Si umeuliza wa everton nimekwambia ndio yeyeUpo serious au unataka tucheke tu!
Au unamaanisha Rooney. Maana Ronaldo hajawahi kupita everton.katokea sp lisbon>man u> Madrid.Si umeuliza wa everton nimekwambia ndio yeye
Rejea post yako ya kwanza kama ronaldo hakupita everton na unajua kwa nn uliuliza?Au unamaanisha Rooney. Maana Ronaldo hajawahi kupita everton.katokea sp lisbon>man u> Madrid.
Labda Mimi nimechelewa kumjua huyo Ronaldo unayemzungumzia wewe.
Siku njema mkuu.
Niliuliza kwa sababu, umemwambia jamaa Ronaldo alinunuliwa kwa p18m na akaangalie statistics zake tokea akiwa everton zinapanda au zinashuka.?Rejea post yako ya kwanza kama ronaldo hakupita everton na unajua kwa nn uliuliza?
Unaelewa maana ya (hata)Niliuliza kwa sababu, umemwambia jamaa Ronaldo alinunuliwa kwa p18m na akaangalie statistics zake tokea akiwa everton zinapanda au zinashuka.?