Mimi dogo nina mawe 53 wewe utakuwa na ngapi?Mbna povu kubwa jibu kw hoja na sio kuanza kkashifu watu we mwnyw upo nyuma ya keyboard za sim inawezekana mtoto tu kw hyo mtoa hoja .
hili povu lote ni kutetea75 yako tu?[emoji2] [emoji2] kiddingIlikuwa umalizie tu "Ushabiki saa nyengine ni laana kwa Mashabiki Wa Chelsea" yaani unampima Beki Kisa Liverpool imefungwa na Swansea??
Kumbe nyie Mashabiki Maandazi Bado Mupo?
Sasa Huyo Christensen Wako si alifungwa na:-
1) Arsenal
2) Bournemouth Migoli 3
3) Watford migoli 4
4) Hesabu inaendelea.....
Je tumuhesabu Hafai???
Nyie Watoto Wa 1995 muna matatizo Kweli!! Eti Beki Kafungwa na Swansea!! 😀 😀 😀
Hivi Wewe Dogo Unakumbuka AC Milan ya Carlo Ancheloti ikiwa na Beki Visiki Duniani Kwa Wakati Huo Kama Paulo Maldin, Nesta na Cafu lakini ilifungwa Goli 4 kwa bila na Deportivo La Coruna Kwenye [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]? Je yuko anayethubutu kusema Maldin ni Mbovu Kisa tu alifungwa Nne bila? Sorry! Kumbe kipindi hicho ulikuwa Mwanafunzi Wa Chekechea (Kindergarten)!
Dogo elewa Hakuna Beki isiyofungwa Duniani Kwani Hata Hiero alifungwa akiwa na Real Yake.
Kufungwa na Swansea si Kigenzo cha Ubovu Wa Beki!
Yap! VVD ni £75m! Lakini Kwa Jinsi Alivyoituliza na Kuibadilisha Beki Yetu yote basi sisi Liverpool tunasema Wazi Kuwa basi hiyo £75m ni Bargain Kwetu! Jamaa anajua tena maajabu anacheza uzuri akiwa hana Kiungo Mkabaji (Defensive Midfielder) Wa maana Coz anacheza na Hendo ambaye Hata hajui uwanjani jukumu lake ni Nini!!!
Lakini Kinachowauma Nyinyi Chelsea Nishakijua! Ni Wivu tu Kwasababu Aliikataa Chelsea na Kuchagua Liverpool!
Labda umesahau Kuwa Chelsea na Man City walikuwa Wakimtaka Kwa hali Yoyote hile!!
Sasa Chelsea nao Walikuwa Wakimtaka Mchezaji mbovu??
Dogo jifunze Kureply kwa Wakubwa Zako.
Hiv huuu uzi umekuwa wa mipasho tu unatumia nguvu nying sn kuongea na shabiki wa liverpuliii hata Epl haijui
Aisee Barcelona akiwa uwanja wa camp nouw ni bilaa, PSG alifanywa nini mwaka, namuogopa sana kwenye uwanja wakeInaonesha Huyo Shabiki Mwenzio Haelewi Kuwa Champion League Ni "Game Of Chance"...
Mkumbushe Kuwa Mwaka 2005 Liverpool Alifungwa na Chelsea kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Nyumbani na Ugenini, lakini Walipokutana na Huyuhuyu Chelsea Kwenye Champion League Nusu Fainali Liverpool alimtoa Chelsea na Kusonga Mbele Kwa Sababu ya Game of Chance na Liverpool akaitumia Chance.
Msimu huo Wa 2005 Liverpool Kwenye Ligi ([HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]) alikamata nafasi ya 5 nyuma ya Everton aliyekamata Nafasi ya 4! Lakini Liverpool Alibeba Kombe la Champion League.
Kwahiyo Champion League Ni Game of Chance na Ukiitumia Chance Vizuri basi Mutamfunga Barcelona kiulaini Kama Real alivyomfunga [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG].
eden kimario
Hata UEFA champions league 2011/12 season mlijifanya akina Shehe Yahya hivi hivi lakini mkaumbuka.Mnapigwa kipigo cha ulimboka...
Chelsea na United hamwezi kuvuka round hii ya best 16.
Only Spurs, City na Liverpool ndio guarantee.
Aisee Barcelona akiwa uwanja wa camp nouw ni bilaa, PSG alifanywa nini mwaka, namuogopa sana kwenye uwanja wake
Mafanikio ambayo ww hukuyaona wala kuyashiriki hayana maana kama mafanikio uliyoyaona na kuyashirikiBut still Nina Five Stars [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]..
Nina Three Uefa Europer League...
Nina 18 League tittles..
Sasa Sijui utanizidi Kwa Kipi na Kigenge Chenu Cha Chelshit Kilichoanzishwa Mwaka 2005?
Utasubiri sana Kufikia Mafanikio ya Liverpool!!!
No history, No legends! You are nothing!!
Mafanikio ambayo ww hukuyaona wala kuyashiriki hayana maana kama mafanikio uliyoyaona na kuyashiriki
[emoji2] [emoji2] mmebaki tujipamatumaini ya historia!But still Nina Five Stars [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]..
Nina Three Uefa Europer League...
Nina 18 League tittles..
Sasa Sijui utanizidi Kwa Kipi na Kigenge Chenu Cha Chelshit Kilichoanzishwa Mwaka 2005?
Utasubiri sana Kufikia Mafanikio ya Liverpool!!!
No history, No legends! You are nothing!!
History maters less than your current performance. Only a fool person will boast on his history but a wise man will show what he is doingBut still Nina Five Stars [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]..
Nina Three Uefa Europer League...
Nina 18 League tittles..
Sasa Sijui utanizidi Kwa Kipi na Kigenge Chenu Cha Chelshit Kilichoanzishwa Mwaka 2005?
Utasubiri sana Kufikia Mafanikio ya Liverpool!!!
No history, No legends! You are nothing!!
Haimsaidii sana Aston Villa kujivunia makombe makubwa 20 kwa Man City ambaye ana makombe 13.Hii si Kauli sahihi ya Kimpira! Kumbuka tunapozungumzia Mafanikio Haimaanishi Kuwa Ni Mafanikio yangu Mimi Bali ni Mafanikio ya Timu.
So, Haijalishi Kuwa Nimeyaona au Sikuyaona ingawa nimeishuhudia [HASHTAG]#EuropaCup[/HASHTAG] na [HASHTAG]#EuroperSuperCup[/HASHTAG] Mwaka 2001 na [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Mwaka 2005.
Au unamaanisha Mtoto aliyezaliwa 2018 hatayahesabu Mafanikio ya sasa ya Chelsea kiss tu hakumuona Conte akichukua [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Wala Di Matteo akichukua [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]?
Yupo ndrinkwater, fabrigas, luiz pia anaweza kurudi na kucheza hiyo namba ila tuwe wakweli tu mi naenda kuitazama hii match lakini sina imani na hii team yangu kuhusu kuiondoa barca ikitokea basi hongera zao wachezajiHabari za kusikitisha ni kuwa Bakayoko hatoweza kuanza mechi dhidi ya Barcelona hiyo kesho kwa sababu anasumbuliwa na maumivu, hili linaweza kuwa pigo kubwa sana kwa chama letu pendwa Chelsea the blues na ikitokea chelsea kushindwa kupata matokeo mazuri hiyo kesho pengo la a Bakayoko litakuwa limechangia kwa kiasi kikubwa, get well Bakayoko a.k.a the GOAT midfielder
You don't get the sarcasm [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo ndrinkwater, fabrigas, luiz pia anaweza kurudi na kucheza hiyo namba ila tuwe wakweli tu mi naenda kuitazama hii match lakini sina imani na hii team yangu kuhusu kuiondoa barca ikitokea basi hongera zao wachezaji
Mkuu mbona huna Matumaini? Historia inatubeba ujueYupo ndrinkwater, fabrigas, luiz pia anaweza kurudi na kucheza hiyo namba ila tuwe wakweli tu mi naenda kuitazama hii match lakini sina imani na hii team yangu kuhusu kuiondoa barca ikitokea basi hongera zao wachezaji
Hii ni habari njema, nimepitia baadhi ya websites na blogs mashabiki wengi wanasema Mungu yupo kumfanya Bakayoko ague ili asiwepo keshoHabari za kusikitisha ni kuwa Bakayoko hatoweza kuanza mechi dhidi ya Barcelona hiyo kesho kwa sababu anasumbuliwa na maumivu, hili linaweza kuwa pigo kubwa sana kwa chama letu pendwa Chelsea the blues na ikitokea chelsea kushindwa kupata matokeo mazuri hiyo kesho pengo la a Bakayoko litakuwa limechangia kwa kiasi kikubwa, get well Bakayoko a.k.a the GOAT midfielder
[emoji381] [emoji381] [emoji382] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Well saidMsimu tulioshinda UEFA tulifungwa game 10, tulimaliza mafasi ya sita. Tulifungwa na Liverpool (twice), Man City, Arsenal na Utd. Tulifungwa na QPR, Aston Villa na West Brom....
Kila mechi inajitegemea mkuu!