Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Academy ya Chelsea ni moto wa kuotea mbali. nyota ya Chelsea itang'aa zaidi siku za usoni.
(Na: Antonio Conte)
Kwangu mimi si vigumu kutabiri uwezo wa Ampadu na Hudson-Odoi. Kipindi cha nyuma wakati tunacheza kombe la Carabao na lile la FA Cup niliwapatia nafasi za kucheza. Tunangelea kuhusu wacheji wawili wazuri kwenye Academy yetu.
Tuna pia Dujon Sterling na Trevol Chalobah, pia kuna Kyele Scott ambaye naya atakuwa na sisi kwenye game ya kesho (leo).
Kwa wachezaji hawa vijana, unaona kabisa nyota ya Chelsea ikingaa siku za usoni.
Ampadu:
Odoi:
Dujon] Sterling
Trevoh Chalobah
Kyle Scott
Mkuu barca wepesi tu jarbu kuchek game zao, tatzo chelsea ashambulie tu kuliko kupaki basHivi kama tunafungwa na wattford bao 4
Vipi barcelona atatufunga ngapi?
Nauliza tu maana hii team siielewi kwa sasa
Kushambulia sio tatizo bali ulinzi kule nyuma ndio sheeda mkuuMkuu barca wepesi tu jarbu kuchek game zao, tatzo chelsea ashambulie tu kuliko kupaki bas
Mnapigwa kipigo cha ulimboka...Mkuu barca wepesi tu jarbu kuchek game zao, tatzo chelsea ashambulie tu kuliko kupaki bas
Hivi kama tunafungwa na wattford bao 4
Vipi barcelona atatufunga ngapi?
Nauliza tu maana hii team siielewi kwa sasa
Acha ushabiki maandazi kuwa mtu wa mpira unajuaje km mm ni shabiki wa chelsea mm nimetoa mawazo yangu!Mnapigwa kipigo cha ulimboka...
Chelsea na United hamwezi kuvuka round hii ya best 16.
Only Spurs, City na Liverpool ndio guarantee.
Msimu tulioshinda UEFA tulifungwa game 10, tulimaliza mafasi ya sita. Tulifungwa na Liverpool (twice), Man City, Arsenal na Utd. Tulifungwa na QPR, Aston Villa na West Brom....
Kila mechi inajitegemea mkuu!
Hivi kama tunafungwa na wattford bao 4
Vipi barcelona atatufunga ngapi?
Nauliza tu maana hii team siielewi kwa sasa
Jibu kwnz swaliLabda umekusudia kusignify kitu gani hapa?
Inaonesha Huyo Shabiki Mwenzio Haelewi Kuwa Champion League Ni "Game Of Chance"...
Mkumbushe Kuwa Mwaka 2005 Liverpool Alifungwa na Chelsea Nyumbani na Ugenini lakini Walipokutana na Huyuhuyu Chelsea Kwenye Champion League Nusu Fainali Liverpool alimtoa Chelsea na Kusonga Mbele Kwa Sababu ya Game of Chance na Liverpool akaitumia Chance.
Msimu huo Wa 2005 Liverpool Kwenye Ligi ([HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]) alikamata nafasi ya 5 nyuma ya Everton aliyekamata Nafasi ya 4! Lakini Liverpool Alibeba Kombe la Champion League.
Kwahiyo Champion League Ni Game of Chance na Ukiitumia Chance Vizuri basi Mutamfunga Barcelona kiulaini Kama Real alivyomfunga [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG].
eden kimario
Noted, ebu tusubiriMnapigwa kipigo cha ulimboka...
Chelsea na United hamwezi kuvuka round hii ya best 16.
Only Spurs, City na Liverpool ndio guarantee.
Barca atatumbukizwa darajani kama kawaida yakeHivi kama tunafungwa na wattford bao 4
Vipi barcelona atatufunga ngapi?
Nauliza tu maana hii team siielewi kwa sasa
Shida iko wapi mkuu? Azpillicueta, Christensen au Rudigar? Alonso au Moses?Kushambulia sio tatizo bali ulinzi kule nyuma ndio sheeda mkuu