Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Investment ni ndogo nw wanaplan ya kujenga uwanja 1 BL. Ulitaka conte afanye nn wakat hausiki yy anatoa mawazo tyu. Anawapa boardAgain nimekwambia Mourinho ana ushawishi mkubwa kuliko Conte ndio maana aliwasajili hao wachezaji hiyo bodi ndio hiyo hiyo na hakuna policy iliyobadilika
Siku utakayofahamu ndio utaelewa nilichoandikaHyo cwez kuwa na jibu boss na uongoz ndio unajibu.
Utakuwa na ushawishi gan kwa mchezaj kama hauusiki kwenye usajili? Acha kuchekesha watu.Siku utakayofahamu ndio utaelewa nilichoandika
Kwa hyo conte anatakiwa apambane ili alete wachezaji ha ha hah. Mnachekesha. Mou alikuwa kwny kamati ya usajili. Conte hayupo yy anatoa wazo then kamati inaamua. Atapambana vipi hapo mbona mnachekesha. Achen kufananisha manager na coach. Coach analetewa mchezaj yoyote ila anakaz ya kumtreat mpaka awe bora. Tofauti na managerMourinho amekuwa akijihusisha zaidi yeye mwenyewe ktk usajili kwa kushawishi target players wake kwa njia ya simu tofauti na conte. Conte yeye akishataja target zake basi kamaluza anaenda kulala wakati Mou akishataja target zake ndo kwanza anaamka na kuanzisha mapambano
😀Leeds legend Johnny Giles slams Chelsea board over Conte treatment
10 hours ago Irish Independent
Disgusting, concludes Giles
Giles: "That's a huge statement of intent United have just made by signing Alexis Sanchez and a poke in the eye for every one of their rivals. Even the noisy neighbours across town must be miffed.
"City will regret this decision but if Pep Guardiola is feeling unsettled by Jose Mourinho's capture of a player who I believe is good enough to lift United to a new level, imagine how the current Premier League champion Antonio Conte is feeling.
"The way Conte has been treated at Stamford Bridge is nothing short of disgraceful and there seems no end to it. Mourinho raided his squad for one of his best men in the summer when he signed Nemanja Matic and while he was pushing hard to get Sanchez, Conte was making enquiries about Andy Carroll and Peter Crouch.
"That tells me a great deal even if it is not at all easy to understand how Chelsea went from winning the title to where they are now."
Usikalili wewe kama lazima kikosi chore cha wachezaji wawe ni world class player .Nitajie timu ambayo haina Average player why Chelsea ikisaajili Average player iwe sababu ya kufanya vibaya Timu inashinda kwa collectively effect .Duuuh unachekesha kwel. Hebu ujicheke mwenyewe. Wachezaj anaoletewa c aliowataka. Hebu nitajie world class player aliyesainiwa kipind cha conte?? Weng ni average players. Ila conte tumsifu now Alonso moses zappacosta ni wachezaj ambao wana effect. Yote ni mipango ya coach. Moses wa Mourinho c wa sasa
Cjasema wote wawe ni world class player hyo hela utaipata WAP... Ila niltaka kusema hakuna hata mmoja aliyeletwa. Lakn tumebeba kombe EPL msimu uliopta. Nw tupo top 4. Ni hatua nzur bado. Kuna msimu tulikuwa wa10 ha ha hah ila conte alitaka wachezaj wake lakn hajaletewa hata mmoja.Usikalili wewe kama lazima kikosi chore cha wachezaji wawe ni world class player .Nitajie timu ambayo haina Average player why Chelsea ikisaajili Average player iwe sababu ya kufanya vibaya Timu inashinda kwa collectively effect .
Mkuu, ni kweli hujui current market transfer kwa sasa au nimekusoma vibaya? Kama hana ushawishi kwa nini Willian alikataa kumfuata Mourinho? Kwa nn Hazard na Courtois wanasema they are happy in London na Huku wakihitajika na Zidane?
Kweli ww nyumbu sana unafikir ni liver puliiii hiiiEti Kwanini Hazard na Courtois wanasema they are happy in London??
Unataka waseme wako frustrated to live in London??
Unadhani wapo Chelsea kwa sababu ya ushawishi Wa Conte??
Kama hujui! Hao wapo London kwasababu Real Hawajaleta Bid yoyote Chelsea ya Kuwataka...
Real wameonesha interest ya Kuwataka tu lakini Hawajaingia Sokoni kuleta Dhabuni yao Chelsea.
Subiri walete Dhabuni Chelsea halafu Ndiyo useme wameikataa Real...
Sasa sababu ya Real Kutoonesha Kuleta Dhabuni yoyote Chelsea Ni Kwamba anaangalia Vitu viwili Kwa Wakati Mmoja!
1) Soko lilivyo
2) Mikataba Yao
Real Wanajua Fika Kuwa Kwa Soko lilivyo kwasasa Hazard na Courtois bei zao Zaweza ifilisi Timu...! Lakini wakiangalia Mikataba Yao inaelekea Ukingoni! Kwahiyo Wanasubiri at least Summer Mikataba Yao itakapokaribia Kumalizika Hapo Real atawapata Hazard na Courtois Bure (Pre-contract), au Kwa Bei Ya Chee kabisa ambao Wrote Wawili Hawatofika Hata £80m.
Angalau mkuu wewe umesemaConte hausiki kwenye usajili kama hujui. Yy anatoa mawazo yake tyu. Then board ndo inahangaika
You need to understand the current situation at Chelsea vinginevyo tutabaki kubishana tuMakocha huwa wanatoa list ya wachezaji wanaowahitaji pia kocha ana influence kubwa kuwashawishi wachezaji na kuishawishi hiyo board inunue wachezaji inaowataka