Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Swala la usajiri Chelsea ni la bodi na scout. Conte ana nafasi kidogo sanaNaona conte kachemka ktk usajili angalia level za wakina hazard na hawa wanaoletwa wanarud nyuma kwa kasi mno
Naona Kidogo [HASHTAG]#Fanboys[/HASHTAG] Wa Chelsea wamepata Nafuu baada ya Andy Carroll Kupata injury ya ankle! Miezi 4 nje... Usajili umekufa lakini still striker mrefu kuliko wote Duniani Peter Crauch atatua Stanford Bridge.
Naona akili zimeanza kuwarudiaMimi huwa nasikitika sana ninaposikia eti piter crouch anatua darajani
Carol anatua darajani
Nasikitika sana
Kwanini wasiingilie dili la aubameyang au wakaenda kutafuta mshambiliaji kwenye team ya fiorentina tu kuliko habari za crouch na carol?
Mkuu kwa kweli mi naona bora Emenalo. Huyu mwanamke mRussia anavutia bangi choo cha stendi si bure. Crouch aje kufanya nini darajani.Mimi huwa nasikitika sana ninaposikia eti piter crouch anatua darajani
Carol anatua darajani
Nasikitika sana
Kwanini wasiingilie dili la aubameyang au wakaenda kutafuta mshambiliaji kwenye team ya fiorentina tu kuliko habari za crouch na carol?
Chelsea can't use a lot of money this time that's why they prefer average strikers which will cost them a small amount of money.Mimi huwa nasikitika sana ninaposikia eti piter crouch anatua darajani
Carol anatua darajani
Nasikitika sana
Kwanini wasiingilie dili la aubameyang au wakaenda kutafuta mshambiliaji kwenye team ya fiorentina tu kuliko habari za crouch na carol?
Aisee mwenyewe nasikitika sana sijui menejment inafeli wapiMimi huwa nasikitika sana ninaposikia eti piter crouch anatua darajani
Carol anatua darajani
Nasikitika sana
Kwanini wasiingilie dili la aubameyang au wakaenda kutafuta mshambiliaji kwenye team ya fiorentina tu kuliko habari za crouch na carol?