Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
 
Chelsea wamekamatwa morata kawekwa kwenye kikapu
 
Hazard kawekwa kwapani hahaha Leicester noma sana
 
Nafikiri kipindi hiki cha kwanza hatujatengeneza nafasi za uhakika
Halafu katikati pale atoke bakayoko au fabrigas
Kule mbele atoke morata aingie williani
 
Conte namfananisha na mwanafunzi aliejiandaa vizuri kwa test akafaulu vizuri sana, then kipindi cha mtihani akapuuzia kujikumbusha zile formula zilizomsaidia kufaulu test na matokeo yake hakufanya vizuri. Tukianza na mfumo uliompa ubingwa Wa 3-4-3 ameuacha na kutumia 3-5-2.Pili wachezaji 4 waliotumika msimu uliopita Conte amewakataa. Matic,Costa,Luiz,Pedro.Ninachoweza kumwambia conte ni kuwa AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…