eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Match na man u mbona hamkusema hivikaribu sana kwenye jukwaa kocha wetu.
ila tunakuomba huyu kijana bakayoko mpumzishe au awe anacheza mechi zisizo na ushindani au pressure mfano carabao cup+fa cup+weak team.
tengeneza partnership ya kante+drinkwater.
drinkwater mtu wa kazi hastahili kukaa benchi mbele ya waste bakayoko.
Kuna wachezaji sitakaa niwalaumu kabisa mmoja wapo ni bakayoko najua huu ni msimu wake wa kwanza pamoja na drinkwater lakini wametupa vitu vingi sana kuliko tulivyowategemeaBakayoko sijawahi mkubali toka akiwa monaco, nilimuona semi final against juventus alicheza hovyo hadi kocha akamtoa second half mwanzoni kabisa. bodi ya chelsea ilizembea sana kwa tolliso huyu tulikuwa tunamchukua na mwenyewe alikuwa willing kuja.
matokeo yake tumekuja angukia kwa waste bakayoko.
starting11 ikiwa na bakayoko+cahili+alonso hapo chelsea tunacheza kama timu ndogo yaani kama crystal palace.
Mkuu Nando umeongea kweli ila kwa Fab nakupinga. Fab anastahili kuwa kwenye 1st 11. Anaonyesha kiwango kizuri sana hastahili. Nafikiri Bakayoko ampishe Drinkwater walau aanze kujifikiria. Lakini kwa Fab muache aanze. Ikiwa una Kante na Drinkwater unataka Fab naye aanze kufanya kazi za hawa wawili.? Angalia statistics za Fab msimu huu hasa zile pass za mwisho ame participate vizuri mno.mkuu una mawazo kama yangu, nilikuwa sijasoma hii post yako kumbe tumewaza the same.
bakayoko anaanzaje mbele ya willian+pedro????????? fabregas kashakuwa mhenga hakabi so anaanzaje mbele ya drinkwater???? fab/bakayoko waanze mbele ya willian+pedro+drinkwater?????
kama sio utani ni nini huu.
Mkuu Bakayoko ni swala la muda tu atabadilika. Ila nahisi ni utoto tuKuna wachezaji sitakaa niwalaumu kabisa mmoja wapo ni bakayoko najua huu ni msimu wake wa kwanza pamoja na drinkwater lakini wametupa vitu vingi sana kuliko tulivyowategemea
Akili zako unazijua mwenyewe yaani batman ni bora kuliko morata...!!!Mkuu Nando umeongea kweli ila kwa Fab nakupinga. Fab anastahili kuwa kwenye 1st 11. Anaonyesha kiwango kizuri sana hastahili. Nafikiri Bakayoko ampishe Drinkwater walau aanze kujifikiria. Lakini kwa Fab muache aanze. Ikiwa una Kante na Drinkwater unataka Fab naye aanze kufanya kazi za hawa wawili.? Angalia statistics za Fab msimu huu hasa zile pass za mwisho ame participate vizuri mno.
Morata anaanza kutu cost sana. Tunapoteza magoli ya wazi. Tunahitaji mstriker walau watatu. Wapeane changamoto wenyewe. Ingekua vizuri naye aanzie benchi walau Batman naye aanze.
Kikosi changu
Courtois, Azpilicueta, Christensen, Rudiger, Kante, Drinkwater, Fabregas, Moses, Alonso, Hazard, Batman/Willian
Hao vijana kina Kennedy na Musonda watatumika kwenye Carabao, FA na mechi nyingine
Ili utwae uefa ni lazima ucheze na hao unaowaogopaChelsea kamaliza nafasi ya pili
Kati ya timu 8 zilizoongoza makundi...1 ni kutoka kundi lake hivyo hawezii kupangwa nayo raundi ya 16 bora...4 kati ya 7 zilizobakii ni timu za kwao England pia hawawezi kupangwa nao...timu 3 pekee zilizobakia ni
1. Barca
2. Psg
3. Besiktas
Dua zote zinaangukia kwa Besiktas
Mjiandae kisaikolojia wana Blue's
Sikumaanisha Batman ni bora kuliko Morata kuwa mpole ndugu. Maana yangu ni kwamba kama Morata ameanza kulega lega ni bora awe anaanza Batman then ndio anaingia Morata. Pengine inaweza kumuamsha na kuacha kufanya makosa ya kijingaAkili zako unazijua mwenyewe yaani batman ni bora kuliko morata...!!!
Hatuwaogopi kiongozi. Ila hakuna anae omba kupangwa nao hasa PSGIli utwae uefa ni lazima ucheze na hao unaowaogopa
2012 timu yetu ilikuwa mbovu sana lakini tulizifunga napoli, barcelona na bayern munchen tukatwaa ndooo
Barcelona na baryen za wakati huo zilikuwa zinatisha kuliko hizi za sasa
Ata wao hawataki kukutana na Chelsea....Hatuwaogopi kiongozi. Ila hakuna anae omba kupangwa nao hasa PSG
Karibu SanaMwaka 2018 nataka nirudi NYumbani Chealse. Baada ya kukaaa Arsenal bila mafanikio
Psg walifungwa na team iliyopanda darajaHatuwaogopi kiongozi. Ila hakuna anae omba kupangwa nao hasa PSG
we inaonekana umekariri mpiramkuu una mawazo kama yangu, nilikuwa sijasoma hii post yako kumbe tumewaza the same.
bakayoko anaanzaje mbele ya willian+pedro????????? fabregas kashakuwa mhenga hakabi so anaanzaje mbele ya drinkwater???? fab/bakayoko waanze mbele ya willian+pedro+drinkwater?????
kama sio utani ni nini huu.